Msaada, modem imeishia njiani wakati wa ku flash

WIMICKY

JF-Expert Member
Jun 9, 2011
1,428
1,571
Habari wakuu tafadhali naomba msaada nina modem 2 nilikuwa nazi flash moja imeishia njiani yaani hakumaliza ku sahisha faili lake ambayo ni huawei e3531
nyingine ilimaliza lakini nikiweka laini inaonyesha imekubari tatizo mtandao unakuwa hamna hata nikitafuta bado inaniambia no service hii ni huawei e303 zote zuilikuwa ni hilink naomba msaada kwa watalaam natanguliza shukrani
 
Haiwezekani ikawa umeilock ulivyo flash hilo file? Mfano modem ni ya tigo ikawa unlocked then ukaflash firmware ikarudi lock ile ile ya tigo. Jaribu kuweka line ya mtandao husika kama ni wa Tanzania.

Alternative Jaribu kutumia program inayokupa details za modem kama DC unlocker hii itakwambia kama ipo locked, Kuna possibility ya ku unlock etc.
 
yaani imeshakuwa unlocked ila mtandao haupo kila line inayojaribu

no service.PNG
 
Back
Top Bottom