Msaada: Mnafanyaje mambo yenu yaende poa?

Cheef Baroka

JF-Expert Member
Mar 24, 2020
491
1,000
Maskini! .. viatu hivi nimewahi kuvivaa najua uzito wake. Kinachoniuma zadi ukiwa kwenye hali hii huwa unaonekana kama kichaa flan iv yan hata ukimshaurisha mtu anakuchukulia mbili kasoro flani.

Solution: me nilitumia Imani zaidi kushinda hali hii.. nambie imani yako nikqambie chakufanya?. (Unaamini Mungu, Mizimu, Majini, asilia au Rasta)
 

Best Tanzania

Member
Aug 8, 2020
86
125
Maisha tunayoishi katika ulimwengu wa mwili na nyama ni matokeo ktk ulimwengu wa roho!
Tengeneza maisha yako kuanzia ktk ulimwengu wa roho ili ktk ulimwengu wa nyama na mwili ufurahie!
Sasa unatengenezaje ktk ulimwengu wa roho? Mambo kadhaa ya kuzingatia yapo, karibu!
💯
 

Best Tanzania

Member
Aug 8, 2020
86
125
Pole sana ndg endelea kumwomba M/Mungu,ipo siku mambo yatakaa sawa tu pia tambua hauko peke yako tuko wengi tunapitia hizo changamoto
 

KeyserSoze

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
5,619
2,000
Be content with what you have..., you can be happier with less and sad with more.....

Unaongelea kwenda ?, Kwenda wapi ? Fanya unachopenda kwa furaha yako na sio kuwaridhisha watu au kujilinganisha na watu.... Don't expect too much and do your level best.... The grass always looks greener on the other side Na mwisho kabisa nakuacha na Serenity Prayer....

God, grant me the serenity to accept the things I cannot change, courage to change the things I can, and wisdom to know the difference. ...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom