Msaada mke wangu kabeba mimba akiwa bado ana mtoto anayenyonya je anaruhusiwa kumnyonyesha?

Anyonyeshe tu ila mke anatakiwa apate lishe nzuri sana pia asiwe na majukumu mengi. Mwanaume pia mjali ili kutuliza hisia zake. Anayeathirika ni aliye tumboni sio huyo aliyezaliwa coz wanagombea chakula yy na mdogo wake
 
Binafsi sioni kama kuna madhara yeyote. Ni nadharia tu iliyojengeka. Mwanangu mmoja imemtokea hii. Kamuachisha maziwa mimba ikiwa na miezi 7 na juzi tu mkewe kajigungua dogo kafikisha mwaka na nusu na kachangamka kuliko watoto wengine wa mtaa wote
 
Mkuu yawezekana huwa huhudhurii Clinic, wanawake wanadhalilika sana.

Na kuna wale wazee wa kupiga mashine wajawazito mpaka wa miezi 6, mwanamke akienda kujifungua uso wote wa mtoto hauonekani umejaa Manii ( shahawa ) yaani ni aibu tupu.
Hamna kitu kama hicho. Tenga muda wa kujiongezea ufahamu kwenye eneo hili.
 
Kwanza afanye kazi moja tu ya malezi kwa Sasa, akubali mengine yampite tu

Anaweza kuendelea kumnyonyesha vizuri tu, hadi pale mimba ikifikia miezi 7 ndipo amuachishe, muhimu ahakikishe anajali ulaji wake na huyo mtoto maana mwaka anakuwa anakula vyakula laini,(chakula Bora)...
Kwa kawaida au operation?
 
Anyonyeshe ila ale vizuri na kunywa maji mengi mimi ilinitokea mtoto akiwa na miez 6 nlikuwa tayari ni mjamzito nilinyonyesha hadi mimba ilpofikisha miez 7,lakini nlimuachisha taratibu nilianza kuacha kunyonyesha mchana, ikawa ni usiku tuu, ikaja usiku mara moja alaf then akaacha kabisa na alikuwa na afya njema sana.

Kama mama ni wa kujifungua kwa operation asifanye Kazi za kuinama au mazoezi mazito kama kutembea sana, cha msingi ahakikishe damu haipungui na asiwe na hofu, nilijifungua kwa operation, 2017,2019,2020 na nipo fit kiafya.

Nilichofanya sikuwaambia sana watu nlikuwa nafuata ushauri wa Dr tuu, japo watoto wote hao sikupanga kuzaa hivyo, ila nwafurahia sana nikikaa nao na nikicheza nao. Kama una swali unaweza ukauliza.
 
Mkuu yawezekana huwa huhudhurii Clinic, wanawake wanadhalilika sana.

Na kuna wale wazee wa kupiga mashine wajawazito mpaka wa miezi 6, mwanamke akienda kujifungua uso wote wa mtoto hauonekani umejaa Manii ( shahawa ) yaani ni aibu tupu.
Mmmmh
 
Mtu anafanya mapenzi hadi siku mbili kabla na anajifungua mtoto msafi tu mbona?
 
Back
Top Bottom