Msaada mke wangu kabeba mimba akiwa bado ana mtoto anayenyonya je anaruhusiwa kumnyonyesha?

Huu uzi una wachangiaji wajinga sijawahi kuona. Kama kitu hujui kwanini usikaw kimya. Unamwambia mwenzio eti akinyonyesha mtoto atakua tahira au atakufa kweli jamani.
 
Kwahiyo unabisha?
Kwani na wewe ni mmoja wa wajinga? Maana sijaku quote umeleta kiherehere. Kama huna taarifa tafuta taarifa kama huna maarifa tafuta maarifa. Uzuri ujinga unaweza kuisha na kufutika kama utatafuta taarifa na maarifa.

Ciao!
 
Kwani na wewe ni mmoja wa wajinga? Maana sijaku quote umeleta kiherehere. Kama huna taarifa tafuta taarifa kama huna maarifa tafuta maarifa. Uzuri ujinga unaweza kuisha na kufutika kama utatafuta taarifa na maarifa.

Ciao!
Aisee, janamke gani unakua LIPUMBAVU namna hii...???
Watu tumesomea elimu ya uzazi miaka mitano tunashinda ma-wodini halafu unachongoa domo lako hapa.
 
Aisee, janamke gani unakua LIPUMBAVU namna hii...???
Watu tumesomea elimu ya uzazi miaka mitano tunashinda ma-wodini halafu unachongoa domo lako hapa.
Mkuu upo kwenye point gani anakufa au hakuna madhara???
 
Huu uzi una wachangiaji wajinga sijawahi kuona. Kama kitu hujui kwanini usikaw kimya. Unamwambia mwenzio eti akinyonyesha mtoto atakua tahira au atakufa kweli jamani

bora uambiwe ukweli kuliko kuzunguruka na hatiaye kutiwa moyo ambao haupo,si afya njema kumnyonyesha mtoto mchanga huku mama yake akiwa na kibendi kingine,anatakiwa atumie maziwa mbadala la sivyo huyo mtoto hatakuwa kama watoto wengine,ukuaji wake lazima utakuwa na kasoro,hutaki acha ila ipo siku utanikumbuka
 
Mkuu steveachi by any standards hakuna maziwa yanayozidi ubora maziwa ya mama kwa mtoto. Hilo ni muhimu kufahamu. Yaani ukipanga ubora wa maziwa kwa mtoto, maziwa ya mama yanakaa nambari 1 kwa standards zozote zile utakazoamua kutumia. Hayo maziwa ya kopo yana makandokando yake ukilinganisha na maziwa ya mama, maziwa ya ng'ombe pia vile vile hayafikii ubora wa maziwa ya mama.
Namba mbili, kwa mama pia hakuna madhara yoyote atakayoyapata kwa kunyonyesha huku ana ujauzito, HAKUNA. Azingatie tu kanuni za afya bora na ulaji bora kama inavyoshauriwa kwa mama mjamzito! Ni muhimu sana kufahamu haya mkuu.
 
1. My education background
2. My six years experience in Lactating-mothers clinics.

Karibu Ellite Clinic hapa Msasani tukuoe elimu bure.
Hizo ndo zimekupa conclusion kuwa huyo mtoto akinyonyeshwa lazima atakufa? Vipi kuhusu mamia ya watoto ambao walinyonyeshwa na mama zao na hawakufa? (Baadhi ya wamama wametoa ushahidi kwenye uzi huu huu). Mimi pia nilinyonya maziwa ya mama yangu akiwa mjamzito baada ya mama yangu kushika ujauzito wakati nikiwa na miezi 10. Na hakuacha kuninyonyesha, na sijafa.
I think you need to revise your conclusion.
Mlolongo
 
Habari wadau wa jamiforums,

Nilikua naomba ushaur wa kitaalam mke wangu kabeba mimba wakati bado Ana mtoto wa mwaka mmoja

Baadh ya watu wazima wanaamin kua mama akibeba mimba basi hatakiw kumnyonyesha mtoto naombeni msaada wa Elim jamani
Punguza kupiga mashine aisee daah.

Mnadhalilisha sana wanawake nyie.
 
Aibu ya Nini mtoto tayari Ana mwaka
Mkuu yawezekana huwa huhudhurii Clinic, wanawake wanadhalilika sana.

Na kuna wale wazee wa kupiga mashine wajawazito mpaka wa miezi 6, mwanamke akienda kujifungua uso wote wa mtoto hauonekani umejaa Manii (shahawa) yaani ni aibu tupu.
 
Back
Top Bottom