Msaada: Mke wangu kabadilika tangu Shemeji yake ambaye ni mtoto wa mjomba wangu aje

Mke wangu alianza Kama kuwa na matani mengi yasiyo ya kawaida na shemeji yake.

Nikawa mzito kuchukua hatua nikiamini anajitambua..ikafika hatua sasa usiku hanipi penzi yapata wiki 2 anadai hana feelings mara kachoka.

Kiujumla kila story tunayopiga lazima amtaje huyo ndugu yangu. Nini maanake?
Inaonekana wewe uko serious sana na mkeo.jifunze kubehave kwa mkeo kama huyo shemeji yake.
 
Mke wangu alianza Kama kuwa na matani mengi yasiyo ya kawaida na shemeji yake.

Nikawa mzito kuchukua hatua nikiamini anajitambua..ikafika hatua sasa usiku hanipi penzi yapata wiki 2 anadai hana feelings mara kachoka.

Kiujumla kila story tunayopiga lazima amtaje huyo ndugu yangu. Nini maanake?
Dogo kasha mkojoleshaaaaa!

wewe una zingua zingua tu, FUKUZA WOTE

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Mke wangu alianza Kama kuwa na matani mengi yasiyo ya kawaida na shemeji yake.

Nikawa mzito kuchukua hatua nikiamini anajitambua..ikafika hatua sasa usiku hanipi penzi yapata wiki 2 anadai hana feelings mara kachoka.

Kiujumla kila story tunayopiga lazima amtaje huyo ndugu yangu. Nini maanake?
Tafuta hela mkuu usiwazie sana kuchapiwa,kumbuka hapa duniani hakuna cha kwako pekeako,kitu cha kwako pekee ni kaburi lako tu haya mengine utashilikiana na wenzako tu.
 
Mke wangu alianza Kama kuwa na matani mengi yasiyo ya kawaida na shemeji yake.

Nikawa mzito kuchukua hatua nikiamini anajitambua..ikafika hatua sasa usiku hanipi penzi yapata wiki 2 anadai hana feelings mara kachoka.

Kiujumla kila story tunayopiga lazima amtaje huyo ndugu yangu. Nini maanake?
Mwondoe huyo mtoto wa mjomba. Mwondoe kesho
 
Back
Top Bottom