Msaada: Mke wangu hajaona siku zake mwaka na nusu sasa baada ya kujifungua

Mabibi na Bwana habarini, naimani mko wazima wa afya.

Naomba nisiwachoshe sana niende kwenye mada.

Mimi ni kijana wa miaka 34 nina watoto wawili ambao kila mtoto na mama yake ila huyu mke wa kwanza tuliachana.

Sasa kilicho nisababisha kuandika huu uzi ni huyu mke wa pili baada ya kujifungua tu mpaka leo ana mwaka na nusu hajaziona siku zake ilihali huyu mke wa kwanza baada ya kujifungua ulipita mwezi mmoja tu akaanza

SASA SWALI LANGU JE NINI KINACHOSABABISHA HIYO HALI?
Usiwe na shaka, akiacha kunyonyesha ataziona siku zake! Ila kuwa makini anaweza kuunganishia mimba nyingine kama unamwagia ndani!
 
M.ke anaenyonyesha au mwenye mimba mda mwingine hawapti hedhi bcz ile damu ya hedhi ndio inayotengeneza chakula kwa mtoto tumboni na ndiyo ambayo inatengeneza maziwa
 
Back
Top Bottom