Msaada: Mke wangu anataka tuwe tunaishi na mtoto wa dada yake kila wikiendi na likizo

Bahati mbaya katika uzi wako hujainisha jinsia za watoto, na kero yako kubwa ilikua kuhusu baba wa mtoto kujichana na life huku mtoto akiwa kwako.
Exactly.. yani kaikimbia mada/point yake kahamia kwenye tabia za kike sijui vitu gani.
Anazunguka mbuyu tuu, tuseme hamtaki tuu uyo mtoto aende kwake.

Sent from my Redmi 5 using JamiiForums mobile app
 
Kama mazingira yanayomzunguka kwa asilimia kubwa ni mazingira ya kike yani anaoshinda nao muda mrefu basi na yeye lazima ataiga. Ni vizuri zaidi kama kuna majirani muwe mnawaruhusu wachanganyike. Na vile vile umnunulie Dolls za kiume. Mlee tu.
Hakuna majirani, mazingira yanayomzunguka ni ya kike
 
Mkuu lengo siko uko mtoto kashaanza kubeba tabia zakike sababu ya mda mwingi yupo nawakike namama harekebishi kwake nisawa
Mtoto kuadopt tabia za kike atakua amechukua kwa baba yake were... mtoto amekosa father figure au unadhani hizo tabia zinachomoza tu kama matawi ya miti... acha gubu acha kisirani ulivyopenda boga upende na UA... hapo mtoto akija mama mkwe so ndo utampeleka nyumba ya kumi kumshtaki
 
Exactly.. yani kaikimbia mada/point yake kahamia kwenye tabia za kike sijui vitu gani.
Anazunguka mbuyu tuu, tuseme hamtaki tuu uyo mtoto aende kwake.

Sent from my Redmi 5 using JamiiForums mobile app
Najiuliza tu kama yeye angekuwa na mtoto wa kiume angefata tabia za kike kama huyo mtoto mwingine? Sijaelewa ni nini hasa kimesababisha mtoto afate tabia za kike zaidi
 
Najiuliza tu kama yeye angekuwa na mtoto wa kiume angefata tabia za kike kama huyo mtoto mwingine? Sijaelewa ni nini hasa kimesababisha mtoto afate tabia za kike zaidi
Mkuu mim ndie mwenye mtoto wakiume
 
Back
Top Bottom