Msaada: Mke wangu ametoka likizo ya uzazi, na amerudi kazini lakini boss wake anamlazimisha kufanya kazi full time

Mabele_

New Member
May 31, 2020
1
2
Habari wadau?

Kwa wabobezi wa sheria especially maeneo ya kazi. Mke wangu ametoka likizo ya uzazi, na amerudi kazini, lakini boss wake anamforce kufanya kazi full time na muda mwingine anatoka saa 5 usiku.

Hili limekaaje?
 
NI KUTOKUFAHAMU HAKI ZAKE KAMA INAVYOTAKIWA KWA MUJIBU WA SHERI. HIYO HAPO ITAKUSAIDIA
 

Attachments

  • Likizo ya Uzazi.pdf
    5 KB · Views: 15
Back
Top Bottom