Msaada Mjomba wangu amepata Point 20 A-Level anaweza soma nini?

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,930
4,893
wakuu nisaidieni msaada nina mjomba wangu yeye amemaliza form six na alikuwa akisomea combinationa ya PCM alichokipata kwenye matokeo yaliyotoka hivi majuzi ni Point 20 division four.
Ni wapi naweza mpeleka?msaada wakuu
 
fafanua P kapata gredi gani (A hadi D na S); halikadhalika C na M.
 
wakuu nisaidieni msaada nina mjomba wangu yeye amemaliza form six na alikuwa akisomea combinationa ya PCM alichokipata kwenye matokeo yaliyotoka hivi majuzi ni Point 20 division four.
Ni wapi naweza mpeleka?msaada wakuu

hiyo ni Zero mkuu (FLD) sio Div. IV, so kama cheti chake cha Olevo akitumie kuingilia diploma
 
du! hii kali ya mwaka,point 20 A-level ndio nini?
nakumbuka wakati nasoma ilikuwa hivi
A - 1
B - 2
C - 3
D - 4
E - 5
S- 6
F -7
bila shaka huyo mjomba wako ana Div. 0,cha msingi hapo atumie cheti cha form akafanye moja kati ya haya yafuatayo
1.akasome certificate ya course yoyote ile aipendayo
2.aende akasomee ualimu wa chekechea au shule ya msingi
3.kama ana uwezo na bidii aende akasome foundation course Open University Of Tanzania ambayo itamchukua mwaka mmoja kumaliza na baada ya hapo akifaulu vizuri atakuwa na sifa ya kusoma degree
4.kama hataki kusoma basi kwa kutumia cheti cha form four akaombe kazi ambazo sifa zake ni ni elimu ya kidato cha 4
 
Inakuwaje kwa mtu aliyepata Physics F Chemistry E na Biology D? Div II point 12 Anaweza kufanya course gani? Wapendwa naomba msaada.
 
Kwani yeye anataka kusoma nini? Nivizuri kujua anachotaka kusoma kwanza. Anaweza kuanzia kusoma diploma au certificate kisha akaunganisha degree. Kuna vyuo kama mzumbe anaweza kusoma accounts, public administration na sheria. Ila watangalia matokeo yake ya kidato cha nne. Unaweza kuangalia tovuti ya mzumbe kwa ufafanuzi. Pia kama anataka engineering kuna st. Joseph kipo mbezi nao wanakozi za diploma. Kwaiyo ataanzia diploma kisha degree.
 
Yeye anasema anataka kwenda kusomea medicine kwa kutumia cheti cha formu four..Nashukruni kwa michngo yenu
 
du! hii kali ya mwaka,point 20 A-level ndio nini?
nakumbuka wakati nasoma ilikuwa hivi
A - 1
B - 2
C - 3
D - 4
E - 5
S- 6
F -7
bila shaka huyo mjomba wako ana Div. 0,cha msingi hapo atumie cheti cha form akafanye moja kati ya haya yafuatayo
1.akasome certificate ya course yoyote ile aipendayo
2.aende akasomee ualimu wa chekechea au shule ya msingi
3.kama ana uwezo na bidii aende akasome foundation course Open University Of Tanzania ambayo itamchukua mwaka mmoja kumaliza na baada ya hapo akifaulu vizuri atakuwa na sifa ya kusoma degree
4.kama hataki kusoma basi kwa kutumia cheti cha form four akaombe kazi ambazo sifa zake ni ni elimu ya kidato cha 4

Mkuu nashukuru kwa mchango wako nitaufanyia kazi
 
Mkuu pia ukitaka upate ushauri mzuri tena wa ziada weka na matokeo yake ya Form 4 hapa.
 
Inakuwaje kwa mtu aliyepata Physics F Chemistry E na Biology D? Div II point 12 Anaweza kufanya course gani? Wapendwa naomba msaada.

kkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkk!!!!!!!!!!!.............msishangae nacheka kichina wakuu,kwa hizo hapo alama sio Div II hata siku moja,hata kama ni kujifariji hapo mmezidi sasa,hiyo bila shaka ni div III,hapo jaribu kutafuta website za vyuo mbalimbali na uangalie course wanazotoa na qualifications zake,sio kila kitu msubiri kuambia tu wakati na sisi wenyewe tunayatafuta kwenye net kila siku,mm namshauri aende teaching
 
Kilichokuchekesha ni nini hapo? Ingekuwa vyema kama utaicheka serikali yako ya Tanzania. Kama hukuwa huru kunisaidia ungeacha. Mimi ndio nasema inasoma Div.II kutoka kwa hizo website sasa ajabu ni nini hapa. Nijifariji ili iwe nini?? Niliomba msaada sio kejeli..
 
Back
Top Bottom