Rihana
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 498
- 250
Wakuu naomba maoni, kabla sijapiga simu Tanesco. Mita yangu ya luku ni hizi zenye kitufe cha bluu na sehemu ya keypad kama smart phone nashangaa nimenunua umeme kwa tigo pesa kila nikibonyeza hamna namba hata moja inakubali..halafu ndani umeme ni kama hauna nguvu vile feni inazunguka pole pole...Je hili ni tatizo temporary au ni indication kuwa mita hiyo imekufa...NB nilibadilishiwa mita hiyo two years ago. Asante na Jioni Njema