Msaada: Mipaka ya kisheria kati ya Chama cha w/kazi na Mwajiri

Mwinjilist mtume nabii

JF-Expert Member
Feb 21, 2015
2,437
1,098
1. Habarini za majukumu;
Ninaomba kujua mipaka ya utendaji kazi kati ya Chama cha wafanyakazi na Mwajiri mahala pa kazi

2. Je,ni halali kisheria mikutano ya chama cha wafanyakazi kuhudhuriwa na mwajiri ikiwa wafanyakazi wanajadili mambo yao ili kumpelekea mwajiri?????

3. Je,anayo haki ya kuzuia chama kuitisha mkutano wa wanachama wake ili kuwapa taarifa????

Plz ,,,,,ninahitaji msaada huo haraka na ikiwezekana na vifungu vya kisheria.
NAWASILISHA
 
Back
Top Bottom