Msaada Mimi Ni welder siwezi fanya kazi kwenye meli?

steve_shemej

JF-Expert Member
Nov 26, 2015
1,092
1,433
Nasikiaga kwenye meli Kuna vitengo vingi Sasa Mimi Ni welder nimesoma (welding and metal fabrication) je siwezi fanya kazi kwenye meli?

Mwenye uelewa anisaidie
 
Kwann usiweze. Mtu wa kwanza kukuwezesha ni wewe mwenyewe. Je! Unauelewa wowote kuhusu meli? Unazijua t&c za kuajiriwa huko
 
Nahisi ntalipwa zaidi maana huku nshafanya Sana I was busy for nothing
Inabidi utafute kiwanda cha meli basi, kwani sidhani kama ndani ya meli kuna kazi za kutosha za kuchomelea na kukufanya wewe uwe wa thamani.
 
Kuna jamaa nawafahamu wabongo wapo oman,wanafanya kazi za welding kwenye meli,Tena elimu zao za veta.
 
Watafute Songoro marine kampuni ya mtanzania imekula tenda ya kutengeneza meli na vivuko vya serikali. Saiv wanamradi fulani kigamboni wamecamp mbele kidogo ya mikadi pale. Kajaribu bahati yako.
 
Watafute Songoro marine kampuni ya mtanzania imekula tenda ya kutengeneza meli na vivuko vya serikali. Saiv wanamradi fulani kigamboni wamecamp mbele kidogo ya mikadi pale. Kajaribu bahati yako.
Sahihi kabisa mkuu pia Kama ni mwanza afike kule ilemela boatyard kuna mradi pia unaendelea.
 
Back
Top Bottom