Msaada: Miaka 10 kwenye ndoa hajawahi kufika kileleni na kupelekea kuchukia tendo

Wapendwa wangu naomba ushauri wenu ktk suala la kufika kileleni (kukojoa), nimekuwa nikihangaika sana tena sana kuhusu hili jambo nina miaka 10 kwenye ndoa yangu sijawahi kufika kileleni hata mara moja. Nasikia stori kwa wenzangu na kuona picha kama hizo za wachina na nyingine kiufupi sifurahi tendo la ndoa nafanya tu kumridhisha mume ila roho inaniuma sana.

Simjui mwaume mwingine zaidi ya mume wangu, ute wenyewe shida yaani hata nichezewe vipi halafu nimekuwa nikilichukia tendo hilo yan siku akisema nasafiri yaani nafurahi kweli

Nimeona nishee na nyie huenda ikawa sababu ya mimi kufurahia ndoa yang

Nahitaji sana msaada wenu ktk hili.
Njoo PM nikupe ushauri Bomba,na tatizo hili itabaki historia Kwako.
 
Wapendwa wangu naomba ushauri wenu ktk suala la kufika kileleni (kukojoa), nimekuwa nikihangaika sana tena sana kuhusu hili jambo nina miaka 10 kwenye ndoa yangu sijawahi kufika kileleni hata mara moja. Nasikia stori kwa wenzangu na kuona picha kama hizo za wachina na nyingine kiufupi sifurahi tendo la ndoa nafanya tu kumridhisha mume ila roho inaniuma sana.

Simjui mwaume mwingine zaidi ya mume wangu, ute wenyewe shida yaani hata nichezewe vipi halafu nimekuwa nikilichukia tendo hilo yan siku akisema nasafiri yaani nafurahi kweli

Nimeona nishee na nyie huenda ikawa sababu ya mimi kufurahia ndoa yang

Nahitaji sana msaada wenu ktk hili.
Utajua mwenyewe
 
Njoo pm kwa msaada zaidi. Trust me, nitakukojolesha. Utafika kileleni. Wasi wasi wangu tu usije ukamchukia mumeo
 
ndugu yangu, usipojua nini kinakuvutia mwenzio atajuaje?

Ukute hata hajajua what makes her tick. Sasa tutamsaidiaje?
Aanze kupiga gitaa kwanza halafu atupe mrejesho ili tujue tunaanzia wapi kumsaidia.
 
Najitolea kukusaidia bureeeeee,
Nikupeleke vacation, nikupe mahaba mahabani,
Walau for aweek ufike kileleni kisha utarudi kwa Mume wako.
 
Aanze kupiga gitaa kwanza halafu atupe mrejesho ili tujue tunaanzia wapi kumsaidia.
aongee na mpenzi wake wajaribu kutomasana sehemu tofauti.

Ila kuanza kumwambia mwanamme hujawahi nifikisha kutamuathiri sana ego yake huyo Mister mkunaji
 
Hivi inawezekana kweli mwanamke afanye matusi kwa miaka 10 bila kufika mshindo?
Mi akili yangu kama inakataa hivi,
Yaani hata kile kipindi cha penzi/ndoa changa kweli?
Kuna mdada fulani hua kila nikimkumbuka nabaki natabasamu tu.
 
Wapendwa wangu naomba ushauri wenu ktk suala la kufika kileleni (kukojoa), nimekuwa nikihangaika sana tena sana kuhusu hili jambo nina miaka 10 kwenye ndoa yangu sijawahi kufika kileleni hata mara moja. Nasikia stori kwa wenzangu na kuona picha kama hizo za wachina na nyingine kiufupi sifurahi tendo la ndoa nafanya tu kumridhisha mume ila roho inaniuma sana.

Simjui mwaume mwingine zaidi ya mume wangu, ute wenyewe shida yaani hata nichezewe vipi halafu nimekuwa nikilichukia tendo hilo yan siku akisema nasafiri yaani nafurahi kweli

Nimeona nishee na nyie huenda ikawa sababu ya mimi kufurahia ndoa yang

Nahitaji sana msaada wenu ktk hili.
Unatafuta uhalali wa kuchepuka tu.
 
dada nani alikuambia kuwa kuna kukojoa kama hujawahi kukojoa wenzio wanakudanganyaga hakuna kitu kama hicho just relax
 
Hivi inawezekana kweli mwanamke afanye matusi kwa miaka 10 bila kufika mshindo?
Mi akili yangu kama inakataa hivi,
Yaani hata kile kipindi cha penzi/ndoa changa kweli?
Kuna mdada fulani hua kila nikimkumbuka nabaki natabasamu tu.
be careful ibliss anakuzoom tu uzidi kutabasamu umpigie mgusanishe.
 
kitambo sana aiseeee wala sijui hata anaishi wapi kwenye sayari hii, baada ya kuolewa ilibidi kupotezea kila kitu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom