Msaada: Miaka 10 kwenye ndoa hajawahi kufika kileleni na kupelekea kuchukia tendo

davetz28

JF-Expert Member
Dec 17, 2017
445
500
Nadhani jibu jepesi ni kwamba hata huna hisia you na mume wako.
Nafahamu kama miaka kumi hukuwahi kufika kileleni huenda tatizo lako litakuwa kubwa sana kama hukulitafutia ufumbuzi
Jambo la kufanya kabla hujachukua mawazo mbadala fanya mazungumzo na mume wako,mweleze tatizo lako ili kama yeye atakuwa sababu anaweza kusaidia kuondoa tatizo
 
Swet-R

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
4,614
2,000
Hatua ya kwanza kabisa mpende kwa dhati unaetoka nae. Ya pili andaeni muda wa kutosha na sehemu tulivu,mumeo akuchezee sana mpaka ute. Jitahidi akili yako ifurahie na iwe hapo.

Angalizo miaka 10 ni mingi sana yaani hata mara moja. Basi bora kwako njia ya pili,ya kupata unae-mfeel toka moyoni mtunuku tunda uangalie kama utafika na ujijue kama uko sawa

Tatu hosp zipo tiba nzuri tu,wana-deal na kizazi kidogo tu. Ila tatizo la hizo hiyo tiba utakuwa na nyege hatari ukiguswa tu na jamaa unataka. Hiyo akikaa juu yako dakika 15 tu wewe utakuwa umeenda hewani hata mara 3,haipungui 2
 
Karucee

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
16,814

Pa kwanza umebugi tayari. Mapenzi hayahusiani.

Ya tatu shida pia, sio kwamba hana nyege ni kqamba mwisho ya safari yake haujui.

Anakodoa macho weeee ila hajui amefika au hajafika.

🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️ukute anafikaga deile lkn hajui kufika ni kufanyeje
 
Antetokounmpo

JF-Expert Member
Feb 5, 2020
1,040
2,000
Wapendwa wangu naomba ushauri wenu ktk suala la kufika kileleni (kukojoa), nimekuwa nikihangaika sana tena sana kuhusu hili jambo nina miaka 10 kwenye ndoa yangu sijawahi kufika kileleni hata mara moja. Nasikia stori kwa wenzangu na kuona picha kama hizo za wachina na nyingine kiufupi sifurahi tendo la ndoa nafanya tu kumridhisha mume ila roho inaniuma sana.

Simjui mwaume mwingine zaidi ya mume wangu, ute wenyewe shida yaani hata nichezewe vipi halafu nimekuwa nikilichukia tendo hilo yan siku akisema nasafiri yaani nafurahi kweli

Nimeona nishee na nyie huenda ikawa sababu ya mimi kufurahia ndoa yang

Nahitaji sana msaada wenu ktk hili.
Kama hujawahi chepuka, umejuaje kama hujawahi fika kileleni..?
 
Swet-R

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
4,614
2,000
Pa kwanza umebugi tayari. Mapenzi hayahusiani.

Ya tatu shida pia, sio kwamba hana nyege ni kqamba mwisho ya safari yake haujui.

Anakodoa macho weeee ila hajui amefika au hajafika.

ukute anafikaga deile lkn hajui kufika ni kufanyeje
Labda kweli, ukute anafika ila kama alivyosema ameona zile za kurusha maji,anafikiri kufika kileleni mpaka ukojoe maji maji.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom