hansluvanga
Member
- Apr 18, 2014
- 96
- 25
Wakuu habari zenu, naombeni msaada nimepima malaria, typhoid, UTI vyote cna ila mgongo unauma Sana hasa sehemu ya Kati kuja juu kwenye mabega...shida inaweza kua nn zaid? Na je nikifanyiwa massage tatizo linaweza pungua?
Msaada tafadhali.
Msaada tafadhali.