Langu
Member
- Nov 20, 2011
- 37
- 9
Habari za asubuhi ndugu wana JF, Nawasalimu katika jina la bwana mungu wetu.
Nimekua nikisikia kuwa kisheria wanandoa wakitalikiana, wanaweza wakagawana mali walizovuna wakiwa pamoja, sijui hii maana ni sahii au nakosea naomba nirekebishwe.
Maswali yangu yanakuja hivi;
Nitashukuru kwa michango yenu wapendwa.
Be blessed.
Nimekua nikisikia kuwa kisheria wanandoa wakitalikiana, wanaweza wakagawana mali walizovuna wakiwa pamoja, sijui hii maana ni sahii au nakosea naomba nirekebishwe.
Maswali yangu yanakuja hivi;
- Je, ni mali gani mahakama inaweza kusema hii imevunwa kwa pamoja?
- Mfano, mimi endapo ni mama wa nyumbani tu sina kazi, naweza kupata chochote kwa hicho kigezo cha kuvunwa kwa pamoja?
- Je,mali nilizokuta tayari anazo mme au mke, zinaweza zikawa sehemu ya mgawanyo, na kwa misingi hipi ikawa hivyo?
Nitashukuru kwa michango yenu wapendwa.
Be blessed.