Msaada: Meno yaliyozidi yanaweza kupunguzwa hospitali?

Kuna uwezekano wa mtu mwenye meno
yaliyotoka nje kupunguzwa kitaalamu? Kama upo ni sehemu gani huduma hiyo inapatikana kwa Dar es salaam?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama upo Dar nenda Muhimbili kwenye Clinic ya Meno(School of Dentistry) upande wa kulia baada ya kuingia getini, utapata majibu sahihi ya shida yako
 
Kuna uwezekano wa mtu mwenye meno
yaliyotoka nje kupunguzwa kitaalamu? Kama upo ni sehemu gani huduma hiyo inapatikana kwa Dar es salaam?

Sent using Jamii Forums mobile app
Muhimbili wameniwekea hayo yote manne juu. Naenda kula muwa sasa hivi na sitoi meno. Hiyo kwako nadhani ni kazi ndogo. Ninayo mwaka wa 6 sasa

Ila nashangaa wale mabingwa wetu pale dental unit muhimbili hawajulikani huduma zao sijui kwa nini

20200130_185554.jpg
 
Mi nilikuwa na bima pia Case yangu ilikuwa kubwa sana, yaani walitoa yote siku moja na kuweka yote. Kwa kweli Dr. hakuniambia kama anatoa yote (nisingekubali) alitumia akili sana kwani yalikuwa yameoza kwa ndani na yalikuwa yametengeneza usaha na kuniltea ugonjwa kama flu au sinus? Hivyo kuhatarisha maisha yangu pia.Alipotoa tu hayo magonjwa yalitoweka.

Fanya utaratibu ukachekiwe kwanza palepale ndio utibiwe na gharama utapewa. Kuna fast track na utaratibu wz kawaida.
 
Bima gani ulikuwa nayo mkuu?

Fast track na uraratibu wa kawadia tofauti yake nini.. Ama fast track inabidi ulipe cash hata kama unayo bima.
Ama fast track ni kwenda kuonana na specialist kabisa
 
Back
Top Bottom