Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,385
Wakuu kuna mdogo wangu anatakiwa afanye mtihani wa TOEFL naomba kufahamishwa kuwa anaanzeje kufuatilia kwa hapa jijini Dar es Salaam.
Mkuu asante sana.. Inawezekana wewe ulishawahi kufanya ... So ni mtihani wa kuongea au written?Na aingie online ajizoeze kwa kufanya mitihani ya zamani na kujipima. Ni kamtihani fulani uchwara hivi. Cha muhimu asipanick na siku ya mtihani atulie aongee Kiingereza kinachoeleweka asibwabwaje tu kisa eti anakimbizana na muda.
Iko posta sehemu gani?Mwambie aende pale British Council maeneo ya posta.,Atapata maelekezo yote..
Yeah. Nilifanyia huko huko kwao nilipoenda kusoma. Ni biashara hii mkuu. Wana makampuni makubwa yanayotunga na kusimamia hii mitihani duniani kote. Mimi ilibidi nifanye miwili - Toefel na GRE. Nikapasua yote.Mkuu asante sana.. Inawezekana wewe ulishawahi kufanya ... So ni mtihani wa kuongea au written?
Asante mdauYeah. Nilifanyia huko huko kwao nilipoenda kusoma. Ni biashara hii mkuu. Wana makampuni makubwa yanayotunga na kusimamia hii mitihani duniani kote. Mimi ilibidi nifanye miwili - Toefel na GRE. Nikapasua yote.
Toefel (kama hawajabadilisha) ni mchanganyiko- written na oral. Oral wanataka kuona fluency, reasoning na competence yote kwa ujumla. Atakuwa mbele ya kompyuta yenye vinasa sauti na anaweza kuonyeshwa mlolongo wa picha mf. Watoto wanacheza mpira nje. Mtoto mmoja anaupiga mpira unagonga dirisha la vioo na linavunjika. Mwenye nyumba anatoka nje halafu watoto wanatimua mbio. Kisha ataombwa aeleze kwa sauti kilichotokea may be within a minute. Asibwabwaje tu kwa haraka haraka. Cha muhimu awe affirmative aongee kwa sauti natural na yenye kusikika vizuri hata hiyo dakika moja ikiisha hajamaliza sequence yote ni sawa. Wanakuwa wamejua kuwa ana uwezo wa kuzungumza sentensi sahihi na kwa kiwango gani.
Kuna mifano ya maswali na majibu Google. aende akafanye mazoezi huko. Cha muhimu ni kujiamini na kutotetemeka. Ni kimtihani rahisi sana!
TOEFL is Test Of English As Foreign Language is just a test to measure your English language ability in listening,Reading,Writing skills any student who wishes to study in USA but comes from countries with mother tongue language other than English have to consider taking the test, specially Internet based Test (IBT).Asante mdau
Biashara tayari duh. Watu hamchelewi kuchangamkia fursa. I am just curious. Una software gani zinazoweza kumsaidia mtu anayetaka kufanya Toefel mkuu mbali na yeye mwenyewe kujizoeza BURE kwa kutumia maswali kutoka katika mitihani yao iliyopita? Hizo software umepewa na watu wa Toefel au umetengeneza mwenyewe?TOEFL is Test Of English As Foreign Language is just a test to measure your English language ability in listening,Reading,Writing skills any student who wishes to study in USA but comes from countries with mother tongue language other than English have to consider taking the test, specially Internet based Test (IBT).
In order to sit for the exam you need first to register for the test in TOEFL: Home then you will need to choose the test date and center that is suitable for u, unfortunately there is only one center that offers TOEFL IBT which is located at UDSM UCC, TOEFL needs very intense preparation especially when u need to achieve high scores, so you have to start preparations ASAP after registering, Also United States Embassy in Tanzania offers counseling and library services, so you should consider seeing them too.
Personally I can help u with softwares that 'll help you during preparation and some other issues related to the test.
Check in with me..... +255 713 588 526.
British council ni IELTS siyo TOEFLMwambie aende pale British Council maeneo ya posta.,Atapata maelekezo yote..
Written, Speaking, Listening and Reading skillsMkuu asante sana.. Inawezekana wewe ulishawahi kufanya ... So ni mtihani wa kuongea au written?
Siyo rahisi kihivyo hutegemea background ya mtahiniwa.Yeah. Nilifanyia huko huko kwao nilipoenda kusoma. Ni biashara hii mkuu. Wana makampuni makubwa yanayotunga na kusimamia hii mitihani duniani kote. Mimi ilibidi nifanye miwili - Toefel na GRE. Nikapasua yote.
Toefel (kama hawajabadilisha) ni mchanganyiko- written na oral. Oral wanataka kuona fluency, reasoning na competence yote kwa ujumla. Atakuwa mbele ya kompyuta yenye vinasa sauti na anaweza kuonyeshwa mlolongo wa picha mf. Watoto wanacheza mpira nje. Mtoto mmoja anaupiga mpira unagonga dirisha la vioo na linavunjika. Mwenye nyumba anatoka nje halafu watoto wanatimua mbio. Kisha ataombwa aeleze kwa sauti kilichotokea may be within a minute or 30 seconds. Asibwabwaje tu kwa haraka haraka. Cha muhimu awe affirmative aongee kwa sauti natural na yenye kusikika vizuri hata hiyo dakika moja ikiisha hajamaliza sequence yote ni sawa. Wanakuwa tayari wameshajua uwezo wake wa kuzungumza sentensi sahihi na kwa level gani (kuna level 5 from novice to advanced. Kama anakwenda kusoma inabidi angalau apate level 3 na akifika chuoni wanaweza kumtaka achukue darasa la Kiingereza katika sehemu ambayo hakufanya vizuri mf. matamshi, grammar n.k). Badala ya kukaa kimya, akimaliza mapema anaweza kuzama zaidi na kueleza kwa mfano anachofikiria huyo mwenye nyumba aliyevunjiwa dirisha atafanya nini baada ya watoto kukimbia. Atawafukuza? Atakwenda kuwaripoti kwa wazazi wao? Atafanyeje and why?
Kuna mifano ya maswali na majibu Google. aende akafanye mazoezi huko. Cha muhimu ni kujiamini na kutotetemeka. Ni kimtihani rahisi sana!
Siyo rahisi kihivyo hutegemea background ya mtahiniwa.
Eg kama umesoma Feza kuanzia vidudu hadi F6 na baba, mama, dada wa kazi na mkata nyasi za kuku anazungumza kingereza basi hapo ni rahisi.
Lakini umesoma asante kayumba hadi f6 unafundishwa "a cows" "the God"
Knifes....basi jiandae miezi kadhaa kabla ya kujisajili
Uko vizuri sanaYeah. Nilifanyia huko huko kwao nilipoenda kusoma. Ni biashara hii mkuu. Wana makampuni makubwa yanayotunga na kusimamia hii mitihani duniani kote. Mimi ilibidi nifanye miwili - Toefel na GRE. Nikapasua yote.