Msaada: Mdogo wangu anatakiwa kufanya mtihani wa TOEFL

Gharama zipoje kwenye hizo test, maana kuna ufadhili mmoja nimeomba naona wameniandikia niwasilishe TOEFL/IELTS proof of english proficiency au confirmation date booked for said test.Sasa mimi nimeshakwama katika hilo na mchakato wa Maombi nishauacha sitaki shida.
Umekata tamaa mapema sana. Na hapa ndipo vijana wengi wa Bongo tunapofeli. Kuna nini kigumu hapo kilichokushinda?

Habari zote kuhusu mtihani huu zipo mtandaoni. Kama unataka vitabu na madesa halisi ya mitihani iliyopita tuwasiliane
 
Gharama za kufanya hiyo mitihani (Yaani nimejaribu kuingia Google_kutokea hapa nilipo Kwenda Dar kufanya Hiyo test siyo chini ya Millioni moja).Na hapo sina uhakika wa kupata Marks zao.Ngoja tuwaachie wenye hela zao Wasome tuu (tuShahada tumoja tunatosha)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mrejesho? ulifikia wapi. ulipiga chini?
 
Back
Top Bottom