Msaada: Mchumba wangu kavalishwa pete Kanisani(Pete ya Upako) matokeo yake anachukia Wanaume sana

Jamani, Mimi na hoja hapa.

Haya Makanisa mimi nashindwa kuelewa? Au kwa sababu labda sipo rohoni sana. Sijawai kusikia ila hili nimelisikia leo, Mchumba wangu kaenda Kanisani mtumishi akamuombea mapepo yakamtoka. Akawa anaongea kwa sauti ya pepo kwamba yeye ni jini mahaba na hataki muhusika (Mchumba wangu) aolewe

Basi baada ya maombi akapewa pete ya upako akaambiwa avae kidoleni kwa siku thelathini ila sasa tangu avae naona ndo amezidi kuchukia Wanaume. Binafsi na wasiwasi sana na ile pete. Maana kanichukia mimi hadi baba yake.

Na mimi niimeamua kumpa break kidogo, Au nakosea?

Sent using Jamii Forums mobile app
Simple thing!! Muogeshe maji ya baridi sana (ice cold water) ..."masaibu/balaa/jinni/nk nk vyote vitatoeka) Good luck ndg
 
Kwakumsaidia poa siku moja amka swali/sali sana iba hiyo pete kaitupe baharini iende na maji.
Jamani, Mimi na hoja hapa.

Haya makanisa mimi nashindwa kuelewa? au kwa sababu labda sipo rohoni sana sijawai kusikia ila hili nimelisikia leo, mchumba wangu kaenda kanisani mtumishi akamuombea mapepo yakamtoka akawa anaongea kwa sauti ya pepo kwamba yeye ni jini mahaba na hataki muhusika (Mchumba wangu) aolewe.

Basi baada ya maombi akapewa pete ya upako akaambiwa avae kidoleni kwa siku thelathini ila sasa tangu avae naona ndo amezidi kuchukia wanaume binafsi na wasiwasi sana na ile pete. Maana kanichukia mimi hadi baba yake.

Na mimi niimeamua kumpa break kidogo, Au nakosea?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom