Msaada: mchanganuo wa gharama za ndoa ya bomani ikilinganishwa na ya kanisani

rasachri

Senior Member
Apr 8, 2011
145
35
Habari wana MMU.

Kwa wenye uzoefu au ufaham wa gharama za ndoa ya bomani ikilinganishwa na gharama za ndoa ya kanisani.

Ndoa ipi ni ya gharama nafuu zaidi kati ya hizo mbili? mchanganuo tafadhari.
 
Garama zinategemea na ww unataka ndoa yako iweje mkuu kanisan mnaweza bebana kwenye bodaboda ww na mkeo na wazamin wenu mkafunga ndoa na pia hata boman hapa inategemea umbali mliopo mpaka boman na pia kumbuka Boman wanatoa kibali cha kwenda kuzini hvyo kama kufunga ndoa funga kanisani mkuu
 
Nimekupata mkuu
 
Sorry. Are you Vicky Kamata?
 
Habari wana MMU.

Kwa wenye uzoefu au ufaham wa gharama za ndoa ya bomani ikilinganishwa na gharama za ndoa ya kanisani.

Ndoa ipi ni ya gharama nafuu zaidi kati ya hizo mbili? mchanganuo tafadhari.

Gharama za ndoa inategemea unataka kufanya nini. Unaoa bado hujakaa chini kujua gharama unauliza tukusaidie??? sana sana kama ni gharama za kulipa bomani au kanisani nje ya zile nyingine ngoja wenye nazo waje.
 
ili kupunguza gharama fanya hivi
- Usikodi usafiri, pandeni daladala
- Usiweke bia wala soda, waambie umeokoka vitu hivyo hutumii
- Chakula pika tu wali mweupe na maharage
- Usialike watu wengine zaidi ya ndugu zako tu
- Usiende honeymoon

Jaribu hayo tu
 
Hahahaa haaaa
Hii noma
 
Garama zinategemea na ww unataka ndoa yako iweje mkuu kanisan mnaweza bebana kwenye bodaboda ww na mkeo na wazamin wenu mkafunga ndoa na pia hata boman hapa inategemea umbali mliopo mpaka boman na pia kumbuka Boman wanatoa kibali cha kwenda kuzini hvyo kama kufunga ndoa funga kanisani mkuu

Bomani wanatoa kibali cha kuzini? SI KWELI! Acha kupotosha watu. Uzinzi ni tabia ya mtu. Kufunga ndoa ya kidini haina maana kwamba watu hawazini. Ukiamua wewe mwenyewe kutoka moyoni kuwa hutatoka nje ya ndoa itakuwa hivyo. Wanaoongoza kwa kukamatwa na tuhuma za uzinzi ni haohao walifunga ndoa za kidini.

Pia ni muhimu ujue kuwa kiapo cha bomani na sehemu za kidini kuhusu ndoa ni kilekile. KUMPENDA NA KUMTUNZA MWENZI WAKO HADI KIFO KIWATENGANISHE. Usicoment kitu kama huna uhakika nacho. Tambua kuwa vyeti vyote vya ndoa hutolewa na serikali. Shekhe, Padri, Mchungaji, Mkuu wa wilaya au Mwanasheria hutoa vyeti vya ndoa kwa niaba ya serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
 
kwani hujawahi shiriki hata ya nduguyo, rafiki au jamaa yeyote wa karibu?huko ndiko uzoefu na ufahamu wa gharama unapata..
 
Garama zinategemea na ww unataka ndoa yako iweje mkuu kanisan mnaweza bebana kwenye bodaboda ww na mkeo na wazamin wenu mkafunga ndoa na pia hata boman hapa inategemea umbali mliopo mpaka boman na pia kumbuka Boman wanatoa kibali cha kwenda kuzini hvyo kama kufunga ndoa funga kanisani mkuu

ndoa ni ndoa bana,,,, kanisani, msikitini, bomani au hata za kimila.......kumbuka ndoa ni moyo wako kuridhia kuunganika na mwingine..........mengine mbwembwe tuu......
 
Bomani wanatoa kibali cha kuzini? SI KWELI! Acha kupotosha watu. Uzinzi ni tabia ya mtu. Kufunga ndoa ya kidini haina maana kwamba watu hawazini. Ukiamua wewe mwenyewe kutoka moyoni kuwa hutatoka nje ya ndoa itakuwa hivyo. Wanaoongoza kwa kukamatwa na tuhuma za uzinzi ni haohao walifunga ndoa za kidini.

Pia ni muhimu ujue kuwa kiapo cha bomani na sehemu za kidini kuhusu ndoa ni kilekile. KUMPENDA NA KUMTUNZA MWENZI WAKO HADI KIFO KIWATENGANISHE. Usicoment kitu kama huna uhakika nacho. Tambua kuwa vyeti vyote vya ndoa hutolewa na serikali. Shekhe, Padri, Mchungaji, Mkuu wa wilaya au Mwanasheria hutoa vyeti vya ndoa kwa niaba ya serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania.

"Kwenye shida na raha"
bomani haipo hii ila kanisani ipo.
So for a loose, easily breakable commitment bomani panafaa sana
 
Mimi nimehudhuria ndoa za bomani. Tamko la "KWENYE SHIDA NA RAHA HADI KIFO KIWATENGANISHE LIPO". Ndoa ngapi za kidini zinavunjwa kisheria? Kuivunja au kuijenga ndoa ni utashi wa mtu binafsi hakuna anayekusimamia maamuzi yako. Hata suala la gharama ni maamuzi binafsi jinsi unavyotaka kuifanya.
 
Habari wana MMU.

Kwa wenye uzoefu au ufaham wa gharama za ndoa ya bomani ikilinganishwa na gharama za ndoa ya kanisani.

Ndoa ipi ni ya gharama nafuu zaidi kati ya hizo mbili? mchanganuo tafadhari.

Wewe unataka kujua garama ya sherehe au??

Ndoa haina garama yoyote iwe ni kanisani, msikitini, au bomani unalipia 10,000 tu kwa ajili ya cheti cha ndoa kinachotolewa na serekali...

Ila kama ni sherehe mjipange wenyewe sio muanze kutusumbua na makadi ya michango ya harusi na kunununia watu wasipowachangia....
 
ndoa ushafunga siku nyingi sana mkuu tangia mmeanza kugegedana.....kuhsu kupata cheti cha ndoa ni wewe tu na pesa yako kwa maana wanahitajika only muhimu ni wasimamizi 2 na mfungihaji 1 na nyie mnaotaka cheti

wegine ni mbwembwe tuuu
 
Bomani wanatoa kibali cha kuzini? SI KWELI! Acha kupotosha watu. Uzinzi ni tabia ya mtu. Kufunga ndoa ya kidini haina maana kwamba watu hawazini. Ukiamua wewe mwenyewe kutoka moyoni kuwa hutatoka nje ya ndoa itakuwa hivyo. Wanaoongoza kwa kukamatwa na tuhuma za uzinzi ni haohao walifunga ndoa za kidini.

Pia ni muhimu ujue kuwa kiapo cha bomani na sehemu za kidini kuhusu ndoa ni kilekile. KUMPENDA NA KUMTUNZA MWENZI WAKO HADI KIFO KIWATENGANISHE. Usicoment kitu kama huna uhakika nacho. Tambua kuwa vyeti vyote vya ndoa hutolewa na serikali. Shekhe, Padri, Mchungaji, Mkuu wa wilaya au Mwanasheria hutoa vyeti vya ndoa kwa niaba ya serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Nilikuwa najiuliza
Asante kwa ufafanuzi
 
mtakayofunga duniani hata mbingun yamefungwa pia.......
Ya kaisari mpe kaissari na ya mungu mpe Mungu.........
Hata mungu anatambua serikali za wanadamu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom