mchushi
JF-Expert Member
- Dec 23, 2012
- 216
- 98
Kama kichwa kinavyoomba hapo juu,naomba kwa anayefahamu anieleze mchakato wa namna ya kuruhusiwa au kupata nafasi yakuandika makala katika gazeti lolote hapa Tanzania.Kwa wenye uzoefu au wenye kuwa na taarifa sahihi kuhusiana na swala hili naombeni msaada wenu.