Msaada: Naomba mbinu za kufanikiwa kimaisha kwa mshahara wa Tsh. 400,000 kwa mwezi

Kwema wanajamii, naombeni mbinu ikiwa nina mke na mtoto mmoja. Nipo kwenye duka, saa za kazi ni saa nne mpaka saa kumi na mbili jioni, huo mshahara hauhusiani na kodi ya nyumba.

Naombeni mbinu na kuzalisha pesa ili nisitegemee mshahara.
Mkuu kama upo sehem ambayo mke anaeeza kua anaenda kujumua mazao k8jijin unafungua frem anauza namaanisha nafaka
 
Kwema wanajamii, naombeni mbinu ikiwa nina mke na mtoto mmoja. Nipo kwenye duka, saa za kazi ni saa nne mpaka saa kumi na mbili jioni, huo mshahara hauhusiani na kodi ya nyumba.

Naombeni mbinu na kuzalisha pesa ili nisitegemee mshahara.
Tafuta kazi nyingine ya pembeni,

Miye ni mwalimu,ndani ya CWT nakula posho,CCM nakula posho,ni masta kucha nafunga na kulima na pia nabeti
Screenshot_20230606-175152~2.png
 
Back
Top Bottom