Msaada mbinu wanazotumia bloggers wa bongo kupata hela google adsense.

chrisman49

JF-Expert Member
Jun 20, 2011
339
225
Naombeni msaada wakali,najua kuna ndugu zetu wanafanya google AdSense kwa kuwa mabloggers hapa bongo na wanapata pesa za kuwapush,naomba msaada kujua wenzetu wanatumia mbinu gani.
Nawasilisha.
 
Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
9,900
2,000
Mbinu gani ki vp sasa. Si ndo ivyo blog zao wanasajili na adsense wanapiga pesa. Sasa ww unataka kujua nini????

Kuwa muwazi usaidiwe
Naombeni msaada wakali,najua kuna ndugu zetu wanafanya google AdSense kwa kuwa mabloggers hapa bongo na wanapata pesa za kuwapush,naomba msaada kujua wenzetu wanatumia mbinu gani.
Nawasilisha.

Vrou van samaria give me bit of water to drink
 
iphonex82

Senior Member
Apr 16, 2019
111
250
Naombeni msaada wakali,najua kuna ndugu zetu wanafanya google AdSense kwa kuwa mabloggers hapa bongo na wanapata pesa za kuwapush,naomba msaada kujua wenzetu wanatumia mbinu gani.
Nawasilisha.
SEO, Backlinks, Good contents, Quality blog template,and creativity ndio zitakufanya upate viewers wengi na upate pesa. ila wengine wanatumia majina tu mfano Michuzi. blogspot.com Huyu jamaa imenibidi tu nimtaje kama ataamua kujitathmini na afanye yaan hakuna blog mbovu kama hii alaf eti inapewa AWARD afadhali angepewa ata millard ayo matangazo anapata kwa sababu ya jina na connection tu ila sina uhakika ata kama watu wanaingia sana kule.
 
iphonex82

Senior Member
Apr 16, 2019
111
250
Ukiona soko la TZ ngumu kwako anza kufanya blogging kwa lugha iliyokuja na ndege but uwe serious na usianzishe blog kwa mategemeo ya kupata pesa haraka, English inaweza ikakufanya ukapata views nyng kutoka T1 countries USA, UK, Canada, Australia na ikawa ndio umetoka kabisa maana ukifikia hapo utakuwa una uwezo wa kuuza ata space moja ya AD kwa $ 1000 na kuendelea. Just choose one NICHE and concentrate on it.
 
Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
9,900
2,000
Huyu michuzi kweli ana blog ambayo haipo Organized sababu ya Matangazo kumzidi. Yani ukiifungua tu blog yake unakutana na matangazo 20 yapo juu. Na mengine mengi pembeni.

Ila ndo hivyo ana jina kubwa kwenye Industry. So anatumia ulegendary kipata viewers
SEO, Backlinks, Good contents, Quality blog template,and creativity ndio zitakufanya upate viewers wengi na upate pesa. ila wengine wanatumia majina tu mfano Michuzi. blogspot.com Huyu jamaa imenibidi tu nimtaje kama ataamua kujitathmini na afanye yaan hakuna blog mbovu kama hii alaf eti inapewa AWARD afadhali angepewa ata millard ayo matangazo anapata kwa sababu ya jina na connection tu ila sina uhakika ata kama watu wanaingia sana kule.
 
iphonex82

Senior Member
Apr 16, 2019
111
250
Huyu michuzi kweli ana blog ambayo haipo Organized sababu ya Matangazo kumzidi. Yani ukiifungua tu blog yake unakutana na matangazo 20 yapo juu. Na mengine mengi pembeni.

Ila ndo hivyo ana jina kubwa kwenye Industry. So anatumia ulegendary kipata viewers
Michuzi blog ni unorganized blog na jamaa hana creativity kabisa yaan anashndwa ata kupangilia blog yake wap aweke matangazo na wap zikae post. kwa professional bloggers weng huwa hawaeki matangazo zaid ya matatu kwa page 1 hila weng wanachofanya ni kuzifanyia rotation yan anaziwekea slides ziwe zinazunguka kama zipi nying sasa yeye kazipanga zote alafu post ikianza mpaka umalize kusoma yote ndio ije nyingine.
Ujinga wake ndio ilimsababisha watu wakachukua domain yake ya .com mpka leo anatumia .blogspot
 
algorithim

JF-Expert Member
Aug 29, 2016
847
1,000

huyu jamaa anafanya kazi IKULU saivi,, ni senior wa masuala ya picha zote anazopigwa magufuli katika kazi zake zote...kwenye ziara zote za mkulu hua namuona na camera yake sometimes anawaelekeza vijana... Note... Technically blog yake haiko sawa japo ndo imemtoa matangazo mengi anapata kutokana na sehemu alipo na connections, pia blog yake ina viewers wengi saaana,,, ipo index na google kisawa sawa,,
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom