Ni kozi ninayoipenda nilijaribu kujishawishi kusoma kozi za afya ila naona kama najidanganya ninaamua kufata moyo wanguChagua kitu unacho kipenda na ukifanye kwa juhudi na bidiii zote.
Hapo lazima utakuwa mtaalam na ujuzi wa kutosha hutokuwa mbabaishaji, hata ukiwa katika usaili watu wanaona mtu bora kuanzia CV hadi ujuzi, ajira zitakuja tu.
Zisipo kuepo unaweza fanya project binafsi, life likaendelea
Soma afya kwani ufaulu wako upoje ?Ninafikiria kuanza certificate kozi ya IT. Ninaomba kujuzwa kuhusiana na hii kozi. Je iko marketable, na jinsi ilivyo
Subiri mwakani apply afya kozi ya IT utakuwa muweka miziki kwenye simuNilisoma sayansi, nina B ya english C ya biology halafu masomo mengine yote D
Mimi ndoo nakuambia kasome IT uoneKwanini unasema hvyo?!
Weka matokeo yako hapa ya science nikushauriOkay na kwa afya kozi gani ambayo ina soko
Kasome certificate of nursing ,certificate of medicine ,certificate of medical laboratory ,certificate of pharmacy nk hizi ndoo ziko poa na unapewa ufadhili wa kusomeshwa na serikali ukichaguliwa vyuo vya serikali achana na IT ,kama mwenye diploma au degree ya IT Amalia ajira je ? Wewe mwenye cheti ?Biology C
Physics D
Chemistry D
Unayoyasema ni kweli, nimeona threads nyingi watu wakilalamika ajira ni ngumu...Kasome certificate of nursing ,certificate of medicine ,certificate of medical laboratory ,certificate of pharmacy nk hizi ndoo ziko poa na unapewa ufadhili wa kusomeshwa na serikali ukichaguliwa vyuo vya serikali achana na IT ,kama mwenye diploma au degree ya IT Amalia ajira je ? Wewe mwenye cheti ?
Kasome afya hutojuta kwamweUnayoyasema ni kweli, nimeona threads nyingi watu wakilalamika ajira ni ngumu...
Uko sahihi
Mimi mwenyewe nataka nikasome afya ingawa nimemaliza 2010 nataka nisome maana nilichaguliwa ualimu mwaka huu diploma but nimeshindwa kujilipia karo najipanga 2017 nikasome certificate of medicineAsante kwa ushauri wako hakika umenifungua