Msaada/mawazo kuhusiana na kozi ya IT

salehek

JF-Expert Member
Mar 14, 2014
268
302
Ninafikiria kuanza certificate kozi ya IT. Ninaomba kujuzwa kuhusiana na hii kozi. Je iko marketable, na jinsi ilivyo
 
Iko marketable Sana ila mpango ni kujiajiri coz zake unawigo mpana Sana wa kujiajr sema kwa level ya certificate unakuwa bado ila usikate tamaa
 
Chagua kitu unacho kipenda na ukifanye kwa juhudi na bidiii zote.

Hapo lazima utakuwa mtaalam na ujuzi wa kutosha hutokuwa mbabaishaji, hata ukiwa katika usaili watu wanaona mtu bora kuanzia CV hadi ujuzi, ajira zitakuja tu.

Zisipo kuepo unaweza fanya project binafsi, life likaendelea
 
Ni kozi ninayoipenda nilijaribu kujishawishi kusoma kozi za afya ila naona kama najidanganya ninaamua kufata moyo wangu
 
Kasome certificate of nursing ,certificate of medicine ,certificate of medical laboratory ,certificate of pharmacy nk hizi ndoo ziko poa na unapewa ufadhili wa kusomeshwa na serikali ukichaguliwa vyuo vya serikali achana na IT ,kama mwenye diploma au degree ya IT Amalia ajira je ? Wewe mwenye cheti ?
Unayoyasema ni kweli, nimeona threads nyingi watu wakilalamika ajira ni ngumu...
Uko sahihi
 
Asante kwa ushauri wako hakika umenifungua
Mimi mwenyewe nataka nikasome afya ingawa nimemaliza 2010 nataka nisome maana nilichaguliwa ualimu mwaka huu diploma but nimeshindwa kujilipia karo najipanga 2017 nikasome certificate of medicine
 
Back
Top Bottom