Msaada: Mawasiliano ya King Kiki band

kidodosi

JF-Expert Member
May 1, 2013
2,290
1,379
Salaam humu ndani,

Nina shughuli ya Send Off ya mtoto wa kike mwezi Juni. Baada ya vikao vya ndugu, wazee wameomba siku hiyo tukodi bendi ya mzee Sungu King Kiki na kamati imenipa kazi ya kufatilia na kujua utaratibu wa kuwakodi.

Kwahiyo nimekuja humu kuomba msaada wa jinsi ya kuwasiliana na King Kiki Band, iwe namba ya sehemu au maelekezo yoyote.

Ahsante sana na karibuni.
 
Namba ya sehemu unamaanisha nini hapo mkuu?No. Ya nyumba anayoishi au?
 
Back
Top Bottom