MPEPE
Senior Member
- Oct 20, 2012
- 155
- 64
Naomba msaada wa tiba na kinga juu ya tatizo hili,huwa tezi zinaniuma na kiuno maeneo ya nyuma na karibu na tezi. Umri wangu ni miaka 24, jinsia ni ME...huwa si'sex mara kwa mara lakini nipo active.nimeongeza hayo maelezo kama bank yatakapohitajika.MSAADA WATALAAMU