Msaada: Maumivu ya mgongo na nguvu za kiume

Ndugu zangu, yapata miezi 5 sasa nasumbuliwa na tatizo la kuumwa sana kwa mgongo ( kwenye maungio kati ya uti wa mgongo na nyonga) chakushangaza nikiwa na hayo maumivu, mashine inakua ya baridi mnoo na nikiwa kwa bed na shemeji yenu baada ya round ya kwanza nachelewa sana kurudia yaweza kuchukua hata masaa 3.

Ila nikitumia pain killer yoyote ya mgongo mashine inarudi kwenye hali yake na nakua fresh tu. Hii hali inanichanganya sana naomba kwa mwenye kujua hili tatizo anisaidie.

Nawasilisha
Nenda kapime kwanza tupate kujuwa chanzo cha maradhi yako ni nini? kisha uje hapa utupe majibu yako tupate kukupa ushauri mzuri.
 
Back
Top Bottom