Msaada matumizi ya neno mukktadha

Mokaze

JF-Expert Member
Aug 3, 2018
10,289
2,000
Naombeni mnifundishe maana na matumizi kw a kupatiwa sentensi ya neno muktadha


Muktadha ni jambo linalozungumziwa katika habari, hadithi, simulizi, maigizo nk, mfano; 1---"Fisi wengi wameonekana wakiranda maeneo ya sokoni wakijitafutia masalia ya minofu ya nyama na mifupa"

2----"Ng'ombe wengi msimu huu wamekonda kwasababu ya kukosekana kwa majani ya kutosha"

Hizi ni habari mbili zenye Muktadha tofauti, hivyo unaweza kusema Muktadha ni maudhui (context).
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom