Msaada: Matokeo ya Kidato cha Sita Makongo Sekondari 2008

Wangaya

JF-Expert Member
Sep 6, 2018
566
1,189
Wakuu habari ya usiku huu.

Kama kichwa kinavyojieleza, mimi ni kati ya wanafunzi walio hitimu kidato cha sita 2008 shule ya sekondary Makongo.
Nimekua nikiyatafuta matokeo hayabkwa muda mrefu kwenye mitandao bila mafanikio. Kwenye Maktaba tetea, naona matokeo hayo y kidato cha sita hayakuwekwa.

Kwa mtu mwenye nayo au ajuae namna ya kuyapata, naomba anisaidie tafadhari.

Asanteni.
 
Ungefika ofisi za Baraza la Mitihani au ingia katika tovuti yao, chukua namba zao za simu uwapigie, watakusaidia bila shaka.

Hivi Kenyaman alikwepo 2008? Mzee alinichapa sana kwenye Maths na mambo ya nidhamu

Back
Top Bottom