Msaada matibabu ya vidonda vya tumbo

Nonji

Member
Joined
Nov 22, 2017
Messages
23
Points
45

Nonji

Member
Joined Nov 22, 2017
23 45
wakuu habari za weekend?
Niende moja kwa moja kwenye mada,wakuu mimi nasumbuliwa sana na vidonda vya tumbo. Yaani inasababisha vichomi mgongo na tumboni na pia visigino vinauma!!

Siku hizi inaniletea hali ya kukohoa na kupiga chafya sana!

Kwanza naomba kufahamu kama hizi dalili zote nilizotaja hapo juu bado ni za vidonda au pengine nina tatizo lingine? Na kama ndio basi msaada la kupata tiba

Shukurani nawategemea kwa majibu.
 
bigmind

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2015
Messages
11,142
Points
2,000

bigmind

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2015
11,142 2,000
wakuu habari za weekend?
Niende moja kwa moja kwenye mada,wakuu mimi nasumbuliwa sana na vidonda vya tumbo. Yaani inasababisha vichomi mgongo na tumboni na pia visigino vinauma!!

Siku hizi inaniletea hali ya kukohoa na kupiga chafya sana!

Kwanza naomba kufahamu kama hizi dalili zote nilizotaja hapo juu bado ni za vidonda au pengine nina tatizo lingine? Na kama ndio basi msaada la kupata tiba

Shukurani nawategemea kwa majibu.
Tafuta chia seeds! Km uko kaskazini nipm.
 
GITWA

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Messages
801
Points
500

GITWA

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2012
801 500
Mkuu tafuta asali ya nyuki wadogo lita mbili na kuendelea.

Kunywa asubuhi kabla hujala chochote alafu subiri saa nzima ndio ule au unywe chai.

Mcha kunywa saa moja kabla ya kula na kwa mda huo usinywe maji.

Usiku kunywa wakati unataka kulala.

kipimo ni vijiko viwili au vitalu vikubwa vya kulia. Tumia kuanzia wiki mbili na kuendelea alafu ukipona leta mrejesho hapa.

NB hakikisha ni asali pure ya nyuki wadogo usinunue fake.
 
Nonji

Member
Joined
Nov 22, 2017
Messages
23
Points
45

Nonji

Member
Joined Nov 22, 2017
23 45
Mkuu tafuta asali ya nyuki wadogo lita mbili na kuendelea.

Kunywa asubuhi kabla hujala chochote alafu subiri saa nzima ndio ule au unywe chai.

Mcha kunywa saa moja kabla ya kula na kwa mda huo usinywe maji.

Usiku kunywa wakati unataka kulala.

kipimo ni vijiko viwili au vitalu vikubwa vya kulia. Tumia kuanzia wiki mbili na kuendelea alafu ukipona leta mrejesho hapa.

NB hakikisha ni asali pure ya nyuki wadogo usinunue fake.
Asante mkuu! Nitafanya hivyo
 
Raphael lawi

Member
Joined
Sep 2, 2018
Messages
14
Points
45

Raphael lawi

Member
Joined Sep 2, 2018
14 45
wakuu habari za weekend?
Niende moja kwa moja kwenye mada,wakuu mimi nasumbuliwa sana na vidonda vya tumbo. Yaani inasababisha vichomi mgongo na tumboni na pia visigino vinauma!!

Siku hizi inaniletea hali ya kukohoa na kupiga chafya sana!

Kwanza naomba kufahamu kama hizi dalili zote nilizotaja hapo juu bado ni za vidonda au pengine nina tatizo lingine? Na kama ndio basi msaada la kupata tiba

Shukurani nawategemea kwa majibu.
Mmb ni dawa ya asili ya vidonda vya tumbo haibahatishi na unapona unaitumia kwa siku 28
 
Forum statistics

Threads 1,364,519
Members 520,767
Posts 33,319,029
Top