Msaada matibabu ya nyonga

grand gazelle

Senior Member
Jun 25, 2017
118
178
Habari ndugu zangu

Kama kichwa kinavyosema, nina rafiki yangu anasumbuliwa sana na nyonga takriban miezi 6 sasa. Ameshafanya vipimo vyote vya kidactari lakini tatizo halionekani, dawa nahisi ameshatumia zote coz ni nyingi mno lakini bado nyonga inaendelea kumsumbua.

Naomba kama unajua njia ya kutoka kwenye hili tatizo plz utusaidie kwa mawazo. Tutashukuru mno. Tunatanguliza shukrani
 
huyo rafiki yako ni mwanamke au mwanaume hiyo nyonga ilisababishwa na kuanguka au ilianza tu yenyewe taratibu ghafra
 
Mafuta ya karafuu kwenye maduka ya dawa za asili, nunuen na habat sauda (black seed) awe anakunywa.

Polen sana.
 
Back
Top Bottom