Msaada Mashairi Haya!!!

Pejos

Member
Oct 16, 2013
31
1
Moja ya mashairi yake yanasema:

Kama ni watoto fika kwetu posa,
utawaona,utawaona,
usifike kwangu utaleta fujo, na mpenzi wangu wa sasa
tulitalaka na wewe bila kuleta kitu kwetu...
Simjui muimbaji wala jina la wimbo niliusikia kitambo kidogo nikaupenda msaada mwenye nao au anayefahamu jina la msanii na wimbo.
Nawasilisha.
 
Wimbo unaitwa Kolza umeimbwa Na General defao matumona,Yuko nairobi kwa sasa akiendeleza pilika Za maisha ingawa hana tena umaarufu Kama miaka ile ya nyuma ulipomfahamu kupitia nyimbo zake.
 
Artist ; Suke Chile,
Song ; Koza
 
Wimbo unaitwa Kolza umeimbwa Na General defao matumona,Yuko nairobi kwa sasa akiendeleza pilika Za maisha ingawa hana tena umaarufu Kama miaka ile ya nyuma ulipomfahamu kupitia nyimbo zake.

Acha Uongo bana, ni Suke Chile.

Sema sasa General Defao aliimba na Suke Chile wimbo mwingine wa JOEL TEMBA,
 
Moja ya mashairi yake yanasema:

Kama ni watoto fika kwetu posa,
utawaona,utawaona,
usifike kwangu utaleta fujo, na mpenzi wangu wa sasa
tulitalaka na wewe bila kuleta kitu kwetu...
Simjui muimbaji wala jina la wimbo niliusikia kitambo kidogo nikaupenda msaada mwenye nao au anayefahamu jina la msanii na wimbo.
Nawasilisha.

Jamani msaada mwenye hii nyimbo atusaidie maana nimeitafuta mpaka basi. Kama kuna link yoyote mtusaidie wadau, mambo ya memories haya.
 
kazi ya suke chile feat.defao,nipo safari kidogo nikirudi nitakutumia inshallah,waonekane unapenda mashairi mazuri ya Kiswahili ktk muziki wa congo...tafuta"Amour Sucide"wa Zaiko langa Langa ya Mzee Nyoka Longo uone mtu mzima anavyolia na wake ampendae...utapenda wimbo huu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom