MSAADA: Maombi yangu yashapokelewa au bado?

scientificall

JF-Expert Member
Jun 4, 2015
454
314
Nilituma maombi ya ajira za mda (sensa) kupitia mtandaoni baada ya kujaza fomu no 1 vilivyo na kutuma lakini bado naambiwa au kuandikiwa hapo juu kuwa hatua ya maombi ilipo fikia inasubiri fomu no 1 iliyosainiwa na wakati hata kuiupload tayari na inaonekana katika viambatanisho

kama picha inavyjieleza hapa ni kweli nishamaliza au ndo maombi yanabaki incomplete.

Naombeni msaada katika hili wanajamvi

20220517_065631.jpg
 
Hapo tayari kijana, yameshapokelewa. Kitulize. Usubirie majibu.
 
Hivi wakuu hapo pamepoandikwa huisha viambatanisho panamanisha nini
 
Hivi wakuu hapo pamepoandikwa huisha viambatanisho panamanisha nini
huisha kama unacho cha ziada cha IT(kama uliomba ).
Na fomu namba 1 imeongezewa kipengele cha jinsia,so fungua kwa email pamoja na neno la siri jaza jinsia yako kisha tuma inakuwa imeisha iyo
 
Punguzeni Munkali, Maombi yenu yameshapokelewa. Idadi ya wanaohitajika hata robo tatu haijafikia na ndiyo maana matangazo hayaishi na hata ikifika Deadline hapo kesho...

Lazima wataongeza muda, kwani Utaratibu ni mbovu na itabidi ifanyike MANUALLY. (Hifadhi hii reply)
 
Back
Top Bottom