Msaada mana kuna trafiki kanichanganya

analgesic

JF-Expert Member
Jul 27, 2013
677
987
nilipanda gari naenda iringa sasa tumefika hapa mikumi basi limeharibika tumeenda kwa trafiki hapa kituoni anasema ili turudishiwe nauli inabidi tusubiri masaa matano kama halijapona ndio turudishiwe nauli hv ni kweli kwa anaefaham
 
Back
Top Bottom