Msaada Malfunctioned USBs & JACKS

LoyalTzCitizen

JF-Expert Member
Sep 15, 2010
2,212
808
Wakuu nimejitahidi kuwa brave kutatua tatizo hili la Usb ports na Jacks za laptop yangu ambazo zimegoma for some reasons bila mafanikio. Naomba msaada kama kuna mtaalam ambaye amesha come across the same problem au anayejua kulitatua nitashukuru sana! siwezi fanya chochote na imekuwa ikininyima raha kwa kweli! Shukrani!:angry:.
 
LoyalTzCitizen

JF-Expert Member
Sep 15, 2010
2,212
808
check driver, kama imeanza leo fanya sys restore

Asante mkuu! ila nilisha wipe off everything na nika re install windows 8, na kuanza upya! programs and windows updates zote tayari zipo updated na ktk device manager in the Universal serial Bus Controller ambapo napata USB Root hubs pamoja na ATIs communication processors vyote nime update lakini wapi!
 
Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,938
1,427
compactibility nafikiri, win8 ni mpya.

Uko sahihi kabisa sio tu ni mpya bali kama imetoka itakuwa ni BETA. Na ukitumia BETA software jua umejiriwa bure kama test personnel.

Ukisoma unofficial reviews hii ni future OS na kwa upande wa USB ita support USB 3.0. . USB ports za most PC in use kwa sasa ni 2.0 nadhani. Kwa hiyo issue kama alivyosema mtaalam inaweza kuwa hakuna kitu kinaitwa backward compatibility ya USB.
 
De Javu

JF-Expert Member
May 5, 2010
264
33
Kwanza kabisa unapojaribu kutumia any beta version software ujue kupambana na mapungufu yake. Beta software ni kwa ajili ya majaribio tu na hutumiwa zaidi na wenye ujuzi wa taaluma hiyo. Kuhusu windows 8 kama kweli umeweza kuinstall kwenye computer yako basi utakua una utaalamu wa kujua hayo mapungufu, moja wapo ni kukosekana kwa drivers za computer yako; hata hao developer wa hiyo windows 8 yenyewe huwa hawana hizo drivers kwani wao pia huzipata from third party. Mara nyingi au at this stage of development ya software hushauriwi kutumia kwa production /daily use purpose. Hivyo kama ni computer ambayo unatumia kwa shughuli za kila siku basi rudisha O/S iliokuepo mwanzo au weka dual boot.
 
Mkuu na wakuu wote nashukuru sana! na nimeipeleka kwa mtaalamu mmoja hapo computer shop naye kashindwa. Arghh :angry: Gutted!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom