Msaada: Makato katika Mshahara wa TRA yanakuwaje?

badsangu

Member
Nov 1, 2017
67
28
Habarini wapendwa katika bwana,naomba kujuzwa kwa yeyote anayejua kuhusu makato ya tra kwa mtu mwenye mshahara wa laki tano je anaweza kukatwa kiasi gan? Very silias jaman naomben sana msaada
 
Habarini wapendwa katika bwana,naomba kujuzwa kwa yeyote anayejua kuhusu makato ya tra kwa mtu mwenye mshahara wa laki tano je anaweza kukatwa kiasi gan? Very silias jaman naomben sana msaada

siku enda kwenye mtandao wa TRA click mahali wameweka ''calculator & Tools'' utapata jibu.
upload_2017-11-16_14-50-26.png
 
9% of your salary huenda TRA as paye.
Ila kuna kitu siku hizi katika kutekeleza sera ya viwanda kinaitwa VAT, hapa ndugu mshahara wako ukizidi laki tatu unaweza kukubwa na hili ila si wote kwamba wanalimwa.
Kwahiyo subiri salary slip ukokokotoe mwenyewe.

Haa haaaaa acha kumlisha mwenzio tango pori VAT kwenye mshahara toka lini ?
 
9% of your salary huenda TRA as paye.
Ila kuna kitu siku hizi katika kutekeleza sera ya viwanda kinaitwa VAT, hapa ndugu mshahara wako ukizidi laki tatu unaweza kukubwa na hili ila si wote kwamba wanalimwa.
Kwahiyo subiri salary slip ukokokotoe mwenyewe.
ni nchi gan mshahara unakatwaga VAT asee?
 
Eeeehhhh watu wanalimwa VAT tangu mwaka jana ila haiwekwi wazi.
Kuna watu ile paye wanalimwa mpaka 19% na wengine mpaka 23%.

Wengine tunalipa 30% ila acha kudanganya watu kuhusu VAT kwenye mshahara....!
 
Back
Top Bottom