Habarini wapendwa katika bwana,naomba kujuzwa kwa yeyote anayejua kuhusu makato ya tra kwa mtu mwenye mshahara wa laki tano je anaweza kukatwa kiasi gan? Very silias jaman naomben sana msaada
9% of your salary huenda TRA as paye.
Ila kuna kitu siku hizi katika kutekeleza sera ya viwanda kinaitwa VAT, hapa ndugu mshahara wako ukizidi laki tatu unaweza kukubwa na hili ila si wote kwamba wanalimwa.
Kwahiyo subiri salary slip ukokokotoe mwenyewe.
ni nchi gan mshahara unakatwaga VAT asee?9% of your salary huenda TRA as paye.
Ila kuna kitu siku hizi katika kutekeleza sera ya viwanda kinaitwa VAT, hapa ndugu mshahara wako ukizidi laki tatu unaweza kukubwa na hili ila si wote kwamba wanalimwa.
Kwahiyo subiri salary slip ukokokotoe mwenyewe.
Eeeehhhh watu wanalimwa VAT tangu mwaka jana ila haiwekwi wazi.ni nchi gan mshahara unakatwaga VAT asee?
Eeeehhhh watu wanalimwa VAT tangu mwaka jana ila haiwekwi wazi.
Kuna watu ile paye wanalimwa mpaka 19% na wengine mpaka 23%.
NCHI HII TUNAONEANA SANAEeeehhhh watu wanalimwa VAT tangu mwaka jana ila haiwekwi wazi.
Kuna watu ile paye wanalimwa mpaka 19% na wengine mpaka 23%.