Vituo vyote viwili wanatumia machineMashine iliyotumika inaitwa urine analyzer kamwa haitoi majibu ya uongo never ever...ukimanisha kituo cha pili ndo wametumia hiyo?
Mkuu mbona nimeuliza kwa lugha rahisi kabisa?Mkuu nimeeleza wiki mbili zilizopita nilikuwa na UTI na nilipima katika hicho kituo baada ya kumaliza dawa ikabidi nirudi kupima kuona kama nimepona
Kwa mara ya kwanza nilikuwa najisikia ovyo ovyo homa na joints nikamuona daktar akanishauri nipime malaria na Uti ndo nikaonekana nina uti na kuanza dozi...mara ya pili mwili ulikuwa uko ok kabisa ila nikataka kujua kama nimeponaMkuu mbona nimeuliza kwa lugha rahisi kabisa?
Nimeuliza kabla hujaenda hospitali ulikuwa unajisikiaje? Kabla hujapimwa mkojo ukaambiwa una UTI ulikuwa unajisikiaje...
Yes ndiyo wametumiaMashine iliyotumika inaitwa urine analyzer kamwa haitoi majibu ya uongo never ever...ukimanisha kituo cha pili ndo wametumia hiyo?
Zamani ilikuwa Malaria, baadaye ikawa Typhoid na kwa sasa ni UTI. Yaani karibu kila mtu akienda kupima ataambiwa anazo, hata kama haumwi chochote. Hivi vituo binafsi vingi ni wizi mtupu.
Kwa uzoefu wangu mdogo sana, kwenye suala la vipimo vya maabara sio sahihi kwenda kupima kwenye hospitali binafsi, ni bora kwenda kwenye hospitali za serikali japokuwa huduma ni mbovu, majibu yanachelewa na uhuni ni mwingi lakini ni vigumu kwao kukupa majibu ya uongo kuwa unaumwa kitu fulani.