Msaada: mahitaji ya kufungua duka la dawa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: mahitaji ya kufungua duka la dawa.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Dr Kingu, Jan 21, 2012.

 1. D

  Dr Kingu Senior Member

  #1
  Jan 21, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 155
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Habari za asubuhi wana Jf.
  Wakuu kunasehemu nimeona naweza kufungua duka la dawa, naomba watalaam wanisaidie mahitaji yanayohitajika na gharama zake. Ningependelea kuweka dawa nyingi coz mi dr, kama kuna mtu anifafanulie madaraja ya maduka ya dawa. Natarajia ushirikiano wenu wakuu. Asante.
   
 2. RUV ACTVIST.

  RUV ACTVIST. JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 471
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Nenda kamwone mfamasia wa wilaya ya eneo husika atakupa imput zote lakini kwa sasa tuna madaraja wa2 tu ya duka la dawa.
  Duka la dawa Muhimu na Pharmacy inayohitaji uwe na mfamasia wa degree.
  Mahitaji mengine ni vyumba viwili.
   
 3. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Asante nitafanya hivyo mkuu kazi njema.
   
Loading...