Msaada: Mahali zilipo ofisi za Samsung kwa Dar es Salaam

NDESA BOY

Senior Member
Dec 30, 2013
104
26
Habari zenu wakuu

Nina ombi moja kwenu, ningependa kufahamu ofisi za Samsung zilipo kwa hapa Dar. Simu yangu ina tatizo hivyo lazima nifike ofisini kwao. Tatizo la simu yangu ni original lakini wananiambia kuwa IMEI haipo hivyo naona ni bora nikawaone nijue hatma yake!!

Asanteni.
 
Mkuu ofisi kuu za samsung zipo posta na kariakoo lakini mimi nafahamu za kariakoo na office zao zipo opposite na kile kituo kikuu cha kupakia abiria cha DART nenda pale utaulizia mtu atakuelekeza ila niwasumbufu sana wanaweza wakakwambia uiache simu ili ufuate baada ya siku tatu au nne ..!!
 
habari zenu wakuu......nina ombi moja kwenu ningepebda kufahamu ofis za sumsang galax zilipo kwa hapa dar simu yangu ina tatizo hivyo lazima nifike ofisi kwao....tatizo la simu yangu ni org lkn wananiambia kuwa ime haipo hivyo naona ni bora niowaone nijue hata yake!! asante
Ila wasumbufu sana
 
Back
Top Bottom