khamis kilo
JF-Expert Member
- May 23, 2016
- 1,051
- 1,200
ni lazima pesa iingie kwanza kwenye account ya mahakama ili kuthibitisha kama mafao yake aliyefariki yamelipwa ipasavyo alafu baada ya hapo ndio zinaingizwa kwenye account mliyofungua, yaan hata msiwe na wasi wasi hata kwangu mimi kwa mzee wangu ilikuwa hivyo na pesa zenu mtaingiziwa na hakuna hata mia itakayoliwa na mahakama kwahiyo kuwa na amani tu