msaada: Maelekezo ya hospitali ya Mvomero morogoro

Baba jayaron

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
4,277
5,838
Habari,
Samahani naomba mnisaidie mwenye mawasuliano na doctor ama hospital inayotibu saana magonjwa ya miguu morogoro mvomero, mama angu anaumwa sana sa nilitaka kufahamu utaratibu wao ili tumpeleke.
Tafadhali chukulia kwa umakini tumsaidie mama yetu.
Natanguliza shukrani kwenu
 
Back
Top Bottom