Msaada : Madawa ya kulainisha nywele (relaxer) yasiyo na mercury. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada : Madawa ya kulainisha nywele (relaxer) yasiyo na mercury.

Discussion in 'JF Doctor' started by Rubi, Apr 20, 2012.

 1. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Wapendwa naomba kujuzwa madawa ya kulainisha nywele (relaxer) yasiyo na mercury. Maana mercury na hydroquinone ni hatari kwa afya zetu. nimesikia kuwa yapo lakini siyajui.
   
 2. h

  haki na usawa JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 476
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Naomba tumia mafuta yenye parachichi kwa wingi hayana madhara
   
 3. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Kama yapi? au hujaelewa swali langu! Ni kuwa kuna dawa za kunyoosha nywele (relaxer) mfano, Dark & Love, Beutiful begin, Olive, Soften touch, n.k najua zipo za box na za kopo ambazo siye wenye kipilipili tunapenda kuzitumia ili kuzinyoosha nywele hata wanaume wanajua wake zao huzitumia so tukijuzana tunasaidiana sote.

  Sasa madawa haya mengi yana hizo chemicals ambazo ni hatari kwa afya zetu ila, nimesikia zipo kati ya hizo ambazo hazina mercury au hydroquinone ndio nikaomba nitajiwe majina kwa wale wanaozijua. Asanteni.
   
Loading...