Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Kuna kitu yaitwa
STEM CELL THERAPY
kwa bidhaa kama
. DOUBLE STEM CELL OR CRYSTAL CELL
+SNOWPHYLL

unapona kabisaaaaa Google alafu tupigie +255767831345
 
*UGONJWA WA KISUKARI*(DIABETES MELLITUS)
.
SEHEMU YA 1
.

.
UTANGULIZI NA AINA ZA KISUKARI
.
Miongoni mwa magonjwa sugu yanayoendelea kuathiri afya za mamilioni ya watu wa nchi nyingi duniani ikiwemo Tanzania ni ugonjwa wa kisukari. Ugonjwa huu hutokea pale ambapo tezi kongosho linaposhindwa kutengeneza kichocheo aina ya Insulin au pale mwili unaposhindwa kutumia vizuri kichocheo hicho cha insulin na kusababisha kuongezeka kwa kiwango cha sukari kwenye damu au hyperglycemia.

AINA ZA KISUKARI

Kisukari kimeanishwa katika makundi yafuatayo Aina ya kwanza ya Kisukari au Type 1 Diabetes Mellitus

Hii ni aina ya kisukari inayowaathiri zaidi watoto na vijana (young adults). Aina hii hutokea iwapo seli maalum zinazotengeneza homoni ya insulin zijulikanazo kama beta cells of Islet of Langerhans katika tezi kongosho zitakosekana au zitaharibika kwa sababu yeyote ile, na hivyo kusababisha ukosefu kabisa au upungufu wa kichocheo hicho kwenye damu.

Mambo yanayoweza kusababisha uharibifu wa seli hizi katika tezi kongosho ni pamoja na kushambuliwa kwa tezi kongosho kunakoweza kufanywa na magonjwa ya kinga ya mwili wa mtu mwenyewe au autoimmune diseases; au kushambuliwa na vyanzo visivyojulikana yaani idiopathic causes.

Kwa vile, uharibifu katika tezi kongosho hupelekea ukosefu wa insulin au hufanya insulin kuzalishwa kwa kiwango kidogo sana, wagonjwa wa aina hii ya kisukari uhitaji kupewa dawa za insulin kwa njia ya sindano kila siku za maisha yao ili waweze kuishi. Ndiyo maana aina hii ya kisukari huitwa pia Kisukari kinachotegemea Insulin au Insulin Dependent Diabetes Mellitus (IDDM)
.
INAENDELEA...
.
Mkuu Innovator97 ,,umepotelea wapii??

Mbona hamna muendelezo??
 
UGONJWA WA KISUKARI ('DIABETES MELLITUS') NI NINI? CHANZO, AINA, DALILI NA TIBA YAKE?

KISUKARI NI NINI HASWA?
Sukari mwilini hutokana na vyakula pamoja na vinywaji tunavyotumia kila siku na hutumika kuupa mwili nguvu. Glukosi ni aina ya sukari ambayo huzipa chembe za mwili nishati. Hata hivyo ili glukosi iingie ndani ya chembe hizo inahitaji insulini. Insulini ni kemikali (Homoni) ambayo hutokezwa na kongosho (Pancrease).
Ugonjwa wa Kisukari hutokea pale ambapo tezi ya kongosho inaposhindwa kutengeneza kichocheo (Homoni) aina ya insulin au pale mwili unaposhindwa kutumia vizuri kichocheo hicho na kusababisha kuongezeka kwa sukari (Hyperglycemia) au kushuka kwa kiwango cha sukari (Hypoglycemia). Ugonjwa wa kisukari unaotokana na mtu kuwa na sukari nyingi kupita kiasi kwenye damu. Ugonjwa huo huvuruga utaratibu wa kuingiza sukari ndani ya chembe kutoka kwenye damu kwa kuwa chembe huhitaji sukari ili kupata nishati na pia unaweza kusababishwa na kuwa na kiwango kidogo cha insulin mwilini, mwili kutosikia kichocheo hicho au yote mawili.

KISUKARI KIMEANISHWA KATIKA MAKUNDI YAFUATAYO:

  1. Kisukari Namba Moja (Type 1 Diabetes)
Hii ni aina ya kisukari inayowaathiri zaidi watoto na vijana au watu chini ya miaka 45. Aina hii hutokea iwapo seli maalum zinazotengeneza homoni ya insulin zijulikanazo kama beta cells of Islet of Langerhans kuwa pungufu. Iwapo seli katika tezi kongosho zitakosekana au zitaharibika husababisha ukosefu kabisa au upungufu wa kichocheo insulin kwenye damu.

Mambo yanayoweza kusababisha uharibifu wa seli hizi katika tezi ya kongosho ni pamoja na kushambuliwa na magonjwa yanayosababisha upungufu wa kinga ya mwili. Uharibifu katika tezi kongosho hupelekea kukosekana kabisa kwa tezi ya insulin au huifanya tezi hiyo kuzalishwa kwa kiwango kidogo.

Wagonjwa wa aina hii ya kisukari huhitaji kupewa dawa za insulin kwa njia ya sindano katika maisha yao yote ili waweze kuishi. Ndiyo maana aina hii ya kisukari huitwa pia kisukari kinachotegemea Insulin au Insulin Dependent Diabetes Mellitus (IDDM)

  1. Aina Ya Pili Ya Kisukari (Type 2 Diabetes)
Hii ni aina ya kisukari inayotokea zaidi ukubwani humtokeo watu wenye umri za ya miaka 40. Aina hii ya kisukari husababishwa na kupungua kwa ufanisi utendaji kazi wa homoni ya insulin. Hali hii husababishwa na unene uliopitiliza yaani obesity, au hali ya kutofanya mazoezi kabisa (physical inactivity). Kwa vile, katika aina hii ya kisukari, insulin huzalishwa katika kiwango cha kutosha isipokuwa tatizo lipo kwenye ufanisi wa utendaji kazi wake.

Wagonjwa wa aina hii ya kisukari hawahitaji kupewa insulin kwa njia ya sindano. Ndiyo maana aina hii hujulikana pia kama kisukari kisichotegemea insulin au Non-Insulin Dependent Diabetes Mellitus (NIDDM).

  1. Kisukari Cha Ujauzito (Gestational Diabetes)
Ni aina ya kisukari kinachotokea pindi kunapokuwa na ongezeko la kiwango cha sukari katika damu (hyperglycemia) wakati wa ujauzito. Aina hii ya kisukari huathiri karibu asilimia 2-5 ya wanawake wajawazito, ingawa wengi wao hupata nafuu na kupona kabisa mara tu baada ya kujifungua. Hata hivyo, karibu asilimia 20 mpaka 50 ya wanawake wajawazito wanaopata aina hii ya kisukari huweza kuendelea nacho hatimaye kuwa aina ya pili ya kisukari maishani.

NINI CHANZO HASA CHA KISUKARI ('DIABETES MELLITUS')?

Ili kuelewa vyema ugonjwa wa kisukari ni muhimu kwanza kuelewa namna chakula kinavyovunjwa vunjwa na kutumiwa na mwili ili kuzalisha nguvu. Wakati chakula kinapoyeyushwa matukio kadhaa hutokea. kama yafuatayo;

Sukari inayoitwa glucosi ambayo ndo huwa ndo sukari ya mwisho yenye chanzo cha nishati/nguvu mwilini huingia katika damu.

Kiungo kinachoitwa kongosho (Pancrease) kutengeneza kichocheo cha insulini. Kazi ya insulini ni kuondoa glucosi katika damu na kuingiza katika misuli, seli za mafuta na ini, ambako hutumika kama nishati.

Watu wenye kisukari huwa na kiwango kikubwa cha sukari kwenye damu kuliko inavyotakiwa kwa sababu miili yao haiwezi kupeleka sukari kwenye seli za mafuta, ini na misuli ili ihifadhiwe kwa ajili ya kuzalisha nguvu.

Hii ni kutokana na moja ya sababu zifuatazo, huenda kongosho zao haziwezi kutengeneza insulini ya kutosha au seli za mwili wao haziathiriwi na insini kama inavyotakiwa au sababu zote hizo mbili. Mafuta katika kongosho na ini huvuruga uwezo wa mwili wa kudhibiti kiasi cha sukari kwenye damu.

Visababishi vya kisukari hutofautiana kulingana na aina husika ya kisukari.

Visababishi vya aina ya kwanza ya kisukari

Aina ya kwanza ya kisukari ina uhusiano mkubwa sana na kurithi. Aidha aina hii pia husababishwa na maambukizi ya Coxsackie virus type B4. Visababishi vingine ni pamoja na sumu inayotokana na kemikali za baadhi ya vyakula (food borne chemical toxins), na kwa baadhi ya watoto wachanga maziwa ya ng’ombe yanaweza kuchochea kinga ya mwili wa mtoto kuushambulia mwili wenyewe (autoimmune reaction) na hivyo kupelekea uharibifu katika tezi kongosho.

Visababishi vya aina ya pili ya kisukari

Kwa ujumla aina hii ya kisukari husababishwa zaidi na mfumo wa maisha na matatizo ya kurithi. Aidha vitu kama kuongezeka uzito na unene kupita kiasi (obesity) nayo pia huchangia kutokea kwa aina hii ya kisukari. Sababu nyingine ni pamoja na Kuongezeka umri, maisha ya kivivu na kutofanya mazoezi (physical inactivity).

NI NANI ANAWEZA KUWA NA UGONJWA WA KISUKARI?
  1. Wenye uzito uliozidi, wasiofanya mazoezi,
  2. Wenye historia ya kuwa na wagonjwa wa kisukari katika familia zao,
  3. Wanawake waliozaa watoto wenye kilo 4 au zaidi,
  4. Wenye shinikizo la damu,
  5. Wenye msongo wa mawazo na
  6. Wenye matumizi makubwa ya pombe na sigara.
DALILI ZA UGONJWA WA KISUKARI

~ Kukojoa mara kwa mara. Hii ni kutokana na figo zao sasa haziwezi kuirudisha glucose kwenye mfumo wa damu na badala yake zinachukua maji kutoka kwenye damu na kusababisha kibofu kijae mara kwa mara.

~ Kunywa maji mengi kuliko kawaida na kusikia kiu kila wakati. Hii ni kutokana na mwili kupoteza maji kwa mkojo.

~ Kuwa dhaifu, kukosa nguvu na kujisikia mchovu kila wakati. Mwili unapokosa glucose ya kuzipa seli nguvu uchovu hutokea.

~ Kupungua uzito au kukonda licha ya kula vizuri. Hii hutokea zaidi wagonjwa wa type1 diabetes kwa sababu kwa kukosa insulin na seli kukosa chanzo cha kupata nguvu mwili huanza kuvunjavunja misuli na kuyeyusha mafuta ya mwili ili upate nguvu.

~ Kusikia njaa kila wakati na kula sana. Kama insulin yako haifanyi kazi au kama huna insulin mwili wako unakosa glucose ya kuupa nguvu hivyo hutafuta njia ya kupata nguvu.

~ Kutoona vizuri.hii ni plae ambapo netve zinakosa nguvu ya sukari kutkana upungufu wa inslin.

~ Kupungua nguvu za kiume au hamu ya kujamiiana kwa wanawake.

~ Ganzi, kuchomwachomwa au kutohisi unapoguswa sehemu za miguu, viganja na vidole. Pai miguu kuoza na hata kupata gangrini.

~ Kukaukwa na ngozi na pia kupata aina ya ngazi katika miguu. Hii hutokana na udhaifu wa sukari mwili huweza kuharibu mishipa midogo ya dmu inayolisha neva hiyo kusabisabishahali ya gazi mikononi.

~ Vidonda au majeraha sehemu yoyote ya mwili kutopona haraka.



TIBA YA KISUKARI KWA KUTUMIA CRYSTAL CELL

Crystal Cell ni product yenye viini vya seli shina kutoka kwenye mimea ambayo huingia mwili na kuchochea seli shian za mwili. Kazi ya crystal cell kwa mgonjwa wa Kisukari ni kuchochea uzalishaji na kuzisisimua seli katika kongosho kitendo kinachofanya uzalishwaji wa insulini kuongezeka.crystal huenda kuchcohcea uzalishaji wa seli beta kwa ajili ya kuzalisha insulin.
Crysatal cell huwezesha kupunguza kiasi cha mafuta mazitokatika damu na hata kuthibiti kolesto.Mafuta katika kongosho na ini huvuruga uwezo wa mwili wa kudhibiti kiasi cha sukari kwenye damu.


Ugonjwa wa kisukari umeitwa kwa kufaa "ugonjwa unaoathiri kiini cha nishati ya mwili" Mwili unaposhindwa kutumia glukosi, mifumo mbalimbali ya mwili inaweza kuacha kufanya kazi au hata kusababisha kifo. Crystal cell huenda kuboresha na kurutubisha utendaji kazi wa homoni ya insulin katika mwili wa binadamu. Insulin ina kazi ya kuondoa glucosi katika damu na kuingiza katika misuli, seli za mafuta na ini, ambako hutumika kama nishati. Pia huimarisha kinga mwili kwa kurutubisha na kuwezesha cell nyeupe kujiongeza.
Crystal seli inauwezo wa kuviamsha upya vimegenya katika figo na ini amabazo husila katika kumengenya wanga nakuurudisha katika hali yake ya kawaida na hivyo husaidia kutibu sukari. Wagonjwa wa sukari huwa wana tatizo la kuwa na uwezo mdogo kudhibiti na kuchujaji wa sumu inayotokana na kemikali za baadhi ya vyakula (food borne chemical toxins)mwilini jambo amabalo hupelekea seli zao za mwili kufa katika kiwango kingi. Crystal cell inauwezo wa kukarabati na kuzalisha seli muhimu katika figo na ini.
CRYSTAL CELL KIBOKO YA MAGONJWA SUGU.
Kwa maelezo zaidi wasiliana
whatapp 0682315816


View attachment 860505
HAMNA DAWA YA HII KITU MKUU ,
 
HAMNA DAWA YA HII KITU MKUU ,
Tiba ya ugonjwa wa kisukari ninayo ukihitaji matibabu toka kwangu nitafute kwa wakati wako.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili Herbalist mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Herbalist MziziMkavu
 
Tiba ya ugonjwa wa kisukari ninayo ukihitaji matibabu toka kwangu nitafute kwa wakati wako.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili Herbalist mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Herbalist MziziMkavu

Dr sebi anasema anatibu magonjwa yote duniani kama kupunguza unene, matatizo ya ngozi, AIDS, Diabetes (kisukari), nguvu za kiume, tatizo anasema ni mucus, ukitumia alkaline diet,electric diet, plant based diet, natural, organic food unaweza kutatua matatizo mengi.

Anaseme chakula sahihi yanatibu magonjwa mengi.

Hivi MziziMkavu hupo karibu na Dr Sebi? Unafuata principles zake. Naona umeweka picha yake kwenye profile yako.

 
Dr sebi anasema anatibu magonjwa yote duniani, AIDS, Diabetes (kisukari), nguvu za kiume, tatizo anasema ni mucus akitumia alkaline diet,electric diet, plant based diet. Chakula ni matibabu ya kila kitu.

Hivi MziziMkavu hupo karibu na Dr Sebi? Unafuata principles zake. Naona umeweka picha yake kwenye profile yako.

Ndio kaka Dr.Sebi ni Mwalim wangu wa Dawa za Asili.
 
HAMNA DAWA YA HII KITU MKUU ,
mkuu kisukari hakina dawa ka ilivyo kwa baadhi ya magonjwa mengine sumbufu ila nikuhakikishie tuu kuwa kulingana na tafiti isiyo rasmi na kufukua fukua kwangu nimejifunza magonjwa mengi huletwa na vyakala vyetu so tukiweza kupaambana na majiko yetu yakapika vilivyo salama tutakuwa salama kwa muda mrefu zaidi.
Pia kulingana na kuchimba kwangu na shuhuda mabalimbali na matokeo niliojionea ni kuwa mgonjwa wa sukari anaweza ishi pasipo kutumia dawa endapo akajua kula vizuri yani akiacha wanga na sukari, akala vyakula vya protein, mafuta salama,vitamin, na maji safi na salama ataishi vizuri na pasipo kupandwa ama kushuka kwa sukari, na wengi wanarudiwa na afya zao za kawaida pia ngozi inarudi hali yake ya kawaida
 
Inafaa tukumbuke tena kwamba ugonjwa wa kisukari ni ugonjwa wa shahamu (cholesterol) vile vile.

Mtu anaweza kuendelea kula chakula chake cha kawaida ili mradi anakumbuka kwamba ni suala muhimu sana kupunguza utumiaji wa mafuta, siagi, samli na margarin.

Mtindo wa kumimina mafuta moja kwa moja katika sufuria au kikaangio si mtindo wa busara hata kidogo. Ni jambo la maana na busara kutumia kijiko cha kulia katika kupima kiasi gani cha mafuta mtu anatia katika mapishi:

Hakikisha kwamba unatia kijiko kimoja cha kulia kwa kila mtu mmoja katika ukoo.

Chakula cha kuchemsha ni cha siha zaidi kuliko cha mikaango kwa sababu ya upungufu wa mafuta.

Afadhali kula chapati/mkate wa kusukuma wa ngano nzima upikwao mkavu bilaya mafuta kushinda ule unaokaangwa kwa mafuta.

Epuka pilau na wali wa nazi na afadhali ule wali wa maji.

Hakikisha kwamba unaitoa, kuikeketa na kutupa shahamu yote ya nyama kabla hujaitia chunguni.
Na nazi nayo ina matatizo sasa tutumie nini?
 
Huu ugonjwa ni hatari Sana nilimuuguza baba yangu mzaz hapana yaani kila Leo ni nafuu ya jana Hadi kufariki yaani Mungu atuepushe ni janga
 
Hello Wana JF, naombeni msaada

Nina jirani yangu anasumbuliwa na kisukari kwa muda sasa ila anadai miaka sita iliyopita sukari ilikuwa juu sana wakampeleka Mount Meru hospital akatundikiwa drip kwa ajili ya kuishusha.

Anasema kwamba katika Ile drip daktari alichukua kichupa cha dawa akachanganyia kwenye ile drip na sukari yake iilikaa normal kwa miaka 3 ikiwa 5 to 7.

Sasa kimeanza kumsumbua tena na kwa bahati mbaya yule daktari aliyemtibu ameshatangulia mbele ya haki na dawa yenyewe iliyokuwa kwenye kile kichupa haijui.

Waheshimiwa watukufu Madoctor ambao wanahusika na wagonjwa wa kisukari nawaombeni msaada wenu. Najua ni vigumu sana kuongelea dawa iliyoko kwenye kichupa iliwekwa kwenye DRIP mtu kukuelewa.

Kwa uwezo waliopewa na Mwenyezi Mungu nawaombea madaktari wetu washukiwe na Roho Mtakatifu waweze kujua jina la hicho kichupa cha dawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
Asante sana,hata mie ninakisukari lakini situmii dawa mara nyingi nakula brown bread na jioni sile chochote,nataka kuanza mazoezi hivi karibuni kwani nilikuwa nimeacha sababu ya kazi,nakunywa maji sana,asante kwa ushauri
..kunywa maji sana ni dalili ya tatizo...
 
Back
Top Bottom