Msaada madaktari kuhusu ugonjwa wa Kisukari

Mavindozii

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Messages
981
Points
1,000

Mavindozii

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2012
981 1,000
Hello Wana JF, naombeni msaada

Nina jirani yangu anasumbuliwa na kisukari kwa muda sasa ila anadai miaka sita iliyopita sukari ilikuwa juu sana wakampeleka Mount Meru hospital akatundikiwa drip kwa ajili ya kuishusha.

Anasema kwamba katika Ile drip daktari alichukua kichupa cha dawa akachanganyia kwenye ile drip na sukari yake iilikaa normal kwa miaka 3 ikiwa 5 to 7.

Sasa kimeanza kumsumbua tena na kwa bahati mbaya yule daktari aliyemtibu ameshatangulia mbele ya haki na dawa yenyewe iliyokuwa kwenye kile kichupa haijui.

Waheshimiwa watukufu Madoctor ambao wanahusika na wagonjwa wa kisukari nawaombeni msaada wenu. Najua ni vigumu sana kuongelea dawa iliyoko kwenye kichupa iliwekwa kwenye DRIP mtu kukuelewa.

Kwa uwezo waliopewa na Mwenyezi Mungu nawaombea madaktari wetu washukiwe na Roho Mtakatifu waweze kujua jina la hicho kichupa cha dawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mavindozii

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Messages
981
Points
1,000

Mavindozii

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2012
981 1,000
Medical notes za mgonjwa lazima zionyeshe maandishi ya huyo daktari, tarehe na tiba aliyompa mgonjwa pamoja na sahihi yake.
Good idea ..Embu ngoja tufuatilie Kule hospital ,tunaweza kupata Lile file la huyu jirani ,

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,380,930
Members 525,919
Posts 33,783,978
Top