Msaada: 'Lotions' za wanawake ambazo ni maarufu (siyo bandia)

Financial Analyst

JF-Expert Member
Nov 27, 2017
1,605
2,701
Hello wapendwa,

Najua kila mwanamke/msichana ana aina ya lotion yake anayopenda, na kati ya hizo kuna ambazo zinazouliziwa na kununuliwa sana kutokana ubora wake, bei yake, matokeo yake, n.k.

Ila zisiwe zile zilizopigwa marufuku na TFDA. Siyo vibaya mkiweka kwa makundi kama ni ya ngozi ya kawaida, ngozi kavu na ngozi ya mafuta.

Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Japo sijawahi kitumia ila Kuna dada anaitwa Sachque anauza "Snail lotion"
20000-25000 Tzs duka lake liko kijitonyama Polisi mabatini , Wadau wake wanaisifia sana nafikiri ni nzuri.

Pia kama unampunga nenda kwa Director Joan kanunue Wix 50000 -60000 Tzs
 
Tumia bidhaa za Oriflame hutojutia.
Naweza nikakupa hata namba zao ukawa wakala wao huku unapendezesha ngozi huku unapiga mkwanja.

Mimi ni mwanaume ila natumia kuanzia mafuta ya ngozi, nywele, na deodorant zao ni firee ila uwakala naona wanafanya sana wanawake.
 
Japo sijawahi kitumia ila Kuna dada anaitwa Sachque anauza "Snail lotion"
20000-25000 Tzs duka lake liko kijitonyama Polisi mabatini , Wadau wake wanaisifia sana nafikiri ni nzuri.
Pia kama unampunga nenda kwa Director Joan kanunue Wix 50000 -60000 Tzs

Mi nilitumia haijanisaidia kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom