MSAADA; LIVE STREAMING KWENYE SMART TVs

Darius

JF-Expert Member
Jun 16, 2013
1,951
320
Wakuu natumia Samsung smart tv....But nafeli katika kustream vitu live kwa mfano mpira...Je kuna njia yoyote nyepesi itaweza nisaidia...nimejaribu firstrow sports through web browser but sijafanikiwa. Apps zilizopo kwenye Smart Hub je zina msaada wowote katika hili.
 
youtube inafunguka? unaweza tumia youtube kwa live tv
Youtube inafunguka naweza cheki videos but nikija katika issue ya kustream live inakuwa shida..mfano jana nilisearch mechi za uefa live kwenye youtube results ilikuwa sawa sawa na zero tuu...! Au kuna maujanja namiss hapo kwenye kustream through youtube..unaweza nisaidia.

Thanks in advance!
 
mkuu hebu jaribu hapa
Samsung Smart TV

kama unataka best experience jitahidi utafute box around 100,000 hadi 200,000
 
Thanx...Itabidi nijaribu hio link...
But vp hio Box ina work vp coz naona nayo n best option kwa hio bajeti uliyoitaja hpo. Sijui chochote kuhusu box naomba nisaidie elimu katika hilo.
 
box maarufu ni za android, ukiiweka unaconect na hdmi unaitumia kama deki, tv yako itabadilika na kuonyesha android tv, utaweza kueka apps za android za streaming na nyenginezo. pia nyingi zinakua optimised kutumia na remote
 
Thanx mkuu. Ngoja nikanunue hio box...unaweza nishauri ni brand ipi nzuri na specification zake.
 
kwa sasa box la xiaomi ndio bora zaidi ila sidhani kama yanapatikana Tanzania. kama unaweza agizia ni vyema uchukue hii vitu vyote vya kisasa kama 4k, encoding na decoding za HEVC(x265), vp9, etc ambavyo ndio muhimu zaidi kwenye box vipo.

pia kama una plan ya kuunganisha simu na tv hakikisha hilo box lina miracast,
 
Thanx sana Mkuu
 
Wakuu natumia Samsung smart tv....But nafeli katika kustream vitu live kwa mfano mpira...Je kuna njia yoyote nyepesi itaweza nisaidia...nimejaribu firstrow sports through web browser but sijafanikiwa. Apps zilizopo kwenye Smart Hub je zina msaada wowote katika hili.
Kama tv yako ina web browser basi ingia google kisha search mobdro. Ukishafanikiwa ku download kisha install baada ya hapo utaweza kuangalia epl, serie a, uefa, n.k kupitia chanel kama espn, bein sport, n.k
 
Browser ipo but nimegoogle hio mobdro APK kwenye kuidownload ndo inshu ss....space ipo ya kutosha....nadhan hio mobdro ni kwa ajili Android Operating system na hii tv OS yake celewi maana ina samsung apps store ambapo apps zake naona hazina msaada wowote
 
box maarufu ni za android, ukiiweka unaconect na hdmi unaitumia kama deki, tv yako itabadilika na kuonyesha android tv, utaweza kueka apps za android za streaming na nyenginezo. pia nyingi zinakua optimised kutumia na remote

Hivi unaweza kutumia simu kama transmition wiFi kwenye TV?
 
Mie natumia Hisense naambulia kuingia YouTube peke nimeshindwa kustream kabisa

ndio maana humu tunashauri ukinunua TV ununue yenye Android tv, Hio Android ya kwenye Hisense ipo pia kwenye tv nyingi za kichina, imefungwa kila Mahala, huwezi sideload ama kutumia playstore kuongeza Apps. Wanataka utumie tu apps wanazotaka wao, ujanja mwengine huu wa kufanya Affiliation kilazima.
 
.. So mkuu unashaurije, ni bora kununua tv ya kawaida tu alafu ukanunua na adroid box au ni bora kununua tu smart tv moja kwa moja?
Mkuu zamani ningekushauri ununue tv ya kawaida na box sababu smart zilikuwa ghali na Tv za kawaida rahisi (utofauti ulikuwa hadi zaidi ya laki 2). Ila sasa hivi smart na zisizo smart bei ni kama Sawa tu, hivyo angalia mwenyewe unaponunulia gharama zikoje.

Unaweza nunua smart kwa bei nafuu na ukachukua tv box vile vile. Na rule ni ile ile zipo tv box zina Android mbaya pia (Android ya tablet), kwenye box hakikisha ina Android tv ama Android iliyo optimised kwa tv kama Fire tv ya Amazon.
 
Back
Top Bottom