Naomba kufahamu lishe ya mtoto

asubuhi nawapa twins uji wa lishe ya kutengeneza mwenyewe, huo ni lazima kwao SI OMBI! yaani nahakikisha dada anawanywesha kabla ya kwenda shule, huo uji unakuwa na mchanganyiko wa vitu mbalimbali isipokuwa dagaa, wana allergy na samaki na mayai! kwasababu wamegoma kula wheetabix yenyewe, naimix kwenye uji wakati unachemka, inayeyukia huko! naweka na asali badala y asukari na butter or blueband kidogo! kama tukisaga unga bila karanga, naweka pia peanut butter!

saa nne mpaka saa 7 ni maziwa ya ng'ombe! wanamaliza lita kwa mchana mmoja, na lita usiku. saa 7 mchana ni ugali lazmaaaaaa wale, kama leo na maharage, kesho mchuzi, keshokutwa bamia za nazi, inayofuata kabichi nk, wanalala mpaka 10 au 11, wakiamka ni fruits, kama leo papai, kesho ndizi, keshokutwa machungwa, nimemwambia dada hata kama hakuna tunda siku hiyo wapewe carotts, saa 12 wanatolewa nje for a walk mpaka saa 11 au 12, wakirudi wanakula NDIZI ZA KUPIKA NAZIMIX NA NYAMA YA KUKU WA KIENYEJI AU SAMAKI MARA MOJAMOJA SANA MAANA WANA ALLERGY, KAMA LEO NIKIBLEND, KESHO NASONGA KWA MKONO ILI WAZOEE OL WEATHER, then kuoga! baada ya hapo ni kuruka kwenye viti, kuvuruga vitanda vya watu nk.

by the time ni saa mbili usiku, wana njaa tena wanakula tena food rice, lakini maziwa tunakuwa tumeshapak kwenye chupa zao tayari kwa kulala, in between wanaweza KUnywa soda, biscuits, chama etc!

kabla ya kulala wanapata chakula cha kiroho, sala ni muhimu! HIVYO TUWAKUMBUSHE WATOTO KUSALI KABLA YA KULALA, SI OMBI NI LAZIMA!
 
Ila hiyo ratiba naona kama kwa sisi wengine itakua ngumu kidogo! Nikimaanisha mfuko..hope nimeeleweka!
 
hakuna cha mfuko wala nini mkuu wangu, ni kujipanga tu! kama unaweza kunywa bia mbili mara mbili kwa wiki, kwann instead usinunu tunda la watoto na asali, punguza michango ya harusi au kata kabisa kama mimi, ili upate lita ya maziwa na wheetabix ya watoto?? jamani tunaweza tuache kuweka excuses, tena nimesahau kila baada ya miezi mi3 lazma wapate dawa ya minyoo wote mpaka yule mkubwa, na kwa twins mafuta ya samaki ni IMPORTANT!!

jamani tupunguze anasa kidogo tu, tunaweza na watoto watakua tu!
 
Haya maisha ya kitajiri...Sisi wa maisha ya kawaida ukijaribu ni lazima utakwama.
 
Wadau kwa yeyote mwenye ratiba nzuri ya lishe ya mtoto wa kuanzia miaka 3 mpaka 7, (
Tafadhali naomba.
Hakikisha wanapata milo 5 kwa siku, mitatu mikubwa (breakfast, lunch, dinner) na snacks mara 2 in-between.
Unajua watoto wanatofautiana, so wanachokula wanangu, wakwako wanaweza wasipende. Cha muhimu hakikisha milo yote mikubwa wanapata protein, wanga, mbogamboga n.k . Snack unaweza wapa matunda, maziwa, na vitafunwa vidogvidogo like maandazi, biscuti, karanga etc.(wasile sana snacks then watashindwa kula lunch/dinner).
Pia wachanganyie vyakula, uswape same thing everyday. Mfano asubuhi, leo ukiwapa uji wa ulezi na maziwa, kesho yake mkate, mayai na maziwa etc, maana watoto nao wanakinai kama watu wazima. Ni maoni yangu tuu.
 
  • Thanks
Reactions: Mom

Lishe ya Mtoto – Miezi 12-18 « Women Of Christ
 
hakuna cha mfuko wala nini mkuu wangu, ni kujipanga tu! kama unaweza kunywa bia mbili mara mbili kwa wiki, kwann instead usinunu tunda la watoto na asali, punguza michango ya harusi au kata kabisa kama mimi, ili upate lita ya maziwa na wheetabix ya watoto?? jamani tunaweza tuache kuweka excuses, tena nimesahau kila baada ya miezi mi3 lazma wapate dawa ya minyoo wote mpaka yule mkubwa, na kwa twins mafuta ya samaki ni IMPORTANT!!

jamani tupunguze anasa kidogo tu, tunaweza na watoto watakua tu!

well said!
 
Hakikisha wanapata milo 5 kwa siku, mitatu mikubwa (breakfast, lunch, dinner) na snacks mara 2 in-between.
Unajua watoto wanatofautiana, so wanachokula wanangu, wakwako wanaweza wasipende. Cha muhimu hakikisha milo yote mikubwa wanapata protein, wanga, mbogamboga n.k . Snack unaweza wapa matunda, maziwa, na vitafunwa vidogvidogo like maandazi, biscuti, karanga etc.(wasile sana snacks then watashindwa kula lunch/dinner).
Pia wachanganyie vyakula, uswape same thing everyday. Mfano asubuhi, leo ukiwapa uji wa ulezi na maziwa, kesho yake mkate, mayai na maziwa etc, maana watoto nao wanakinai kama watu wazima. Ni maoni yangu tuu.

asante.
 
asubuhi nawapa twins uji wa lishe ya kutengeneza mwenyewe, huo ni lazima kwao SI OMBI! yaani nahakikisha dada anawanywesha kabla ya kwenda shule, huo uji unakuwa na mchanganyiko wa vitu mbalimbali isipokuwa dagaa, wana allergy na samaki na mayai! kwasababu wamegoma kula wheetabix yenyewe, naimix kwenye uji wakati unachemka, inayeyukia huko! naweka na asali badala y asukari na butter or blueband kidogo! kama tukisaga unga bila karanga, naweka pia peanut butter!

saa nne mpaka saa 7 ni maziwa ya ng'ombe! wanamaliza lita kwa mchana mmoja, na lita usiku. saa 7 mchana ni ugali lazmaaaaaa wale, kama leo na maharage, kesho mchuzi, keshokutwa bamia za nazi, inayofuata kabichi nk, wanalala mpaka 10 au 11, wakiamka ni fruits, kama leo papai, kesho ndizi, keshokutwa machungwa, nimemwambia dada hata kama hakuna tunda siku hiyo wapewe carotts, saa 12 wanatolewa nje for a walk mpaka saa 11 au 12, wakirudi wanakula NDIZI ZA KUPIKA NAZIMIX NA NYAMA YA KUKU WA KIENYEJI AU SAMAKI MARA MOJAMOJA SANA MAANA WANA ALLERGY, KAMA LEO NIKIBLEND, KESHO NASONGA KWA MKONO ILI WAZOEE OL WEATHER, then kuoga! baada ya hapo ni kuruka kwenye viti, kuvuruga vitanda vya watu nk.

by the time ni saa mbili usiku, wana njaa tena wanakula tena food rice, lakini maziwa tunakuwa tumeshapak kwenye chupa zao tayari kwa kulala, in between wanaweza KUnywa soda, biscuits, chama etc!

kabla ya kulala wanapata chakula cha kiroho, sala ni muhimu! HIVYO TUWAKUMBUSHE WATOTO KUSALI KABLA YA KULALA, SI OMBI NI LAZIMA!

hii ratiba nzuri kwa watoto wapenda kula ila wale mpaka ngumi hapa kidogo itakuwa tabu maana hawa watoto unaweza kufa na presha...
 
hata wangu ni wavivu balaa! ila gfsonwin alikuja kuspend weekend kwangu akaona! nawadumbukiza kwenye maji kila wanywapo uji asubuhi, yaani hawali mpaka wawe kwenye maji! then u put ol the plays in the world, dolls, vikombe vijiko kwenye maji, ndanii ya nusu saa bakuli la uji limekwisha, kama ni jioni ndani ya nusu saa bakuli la ndizi limekwisha! ila wali ugali wanakula kama kawaida mezani, ila mwendo ndio ule ule wakuweka plays zote mezani, some times wanakula huku wanatembea nje, tunakimbizana uwanja mzima mpaka rice au ugali uishe!

malezi ni kazi, ila mtu upende ufanyacho hutachoka!
 
Last edited by a moderator:
hata wangu ni wavivu balaa! ila gfsonwin alikuja kuspend weekend kwangu akaona! nawadumbukiza kwenye maji kila wanywapo uji asubuhi, yaani hawali mpaka wawe kwenye maji! then u put ol the plays in the world, dolls, vikombe vijiko kwenye maji, ndanii ya nusu saa bakuli la uji limekwisha, kama ni jioni ndani ya nusu saa bakuli la ndizi limekwisha! ila wali ugali wanakula kama kawaida mezani, ila mwendo ndio ule ule wakuweka plays zote mezani, some times wanakula huku wanatembea nje, tunakimbizana uwanja mzima mpaka rice au ugali uishe! malezi ni kazi, ila mtu upende ufanyacho hutachoka!
kwa kiivyo nimekubali maana uneweza poteza hata hamu ya kuwalisha inabidi umsusie dada wa kazi na mama mtoto..
 
Last edited by a moderator:
Wakwangu ugali mbegu kwa kwenda mbele anzia asubuh hadi usiku, matunda hadi jirani awagawie(kama maisha magumu mi nimfanyaje?) teh teh teh..
 
hata wangu ni wavivu balaa! ila gfsonwin alikuja kuspend weekend kwangu akaona! nawadumbukiza kwenye maji kila wanywapo uji asubuhi, yaani hawali mpaka wawe kwenye maji! then u put ol the plays in the world, dolls, vikombe vijiko kwenye maji, ndanii ya nusu saa bakuli la uji limekwisha, kama ni jioni ndani ya nusu saa bakuli la ndizi limekwisha! ila wali ugali wanakula kama kawaida mezani, ila mwendo ndio ule ule wakuweka plays zote mezani, some times wanakula huku wanatembea nje, tunakimbizana uwanja mzima mpaka rice au ugali uishe!

malezi ni kazi, ila mtu upende ufanyacho hutachoka!

hahahhahhaah! nakumbuka tena nikakwambia uwe makini wasipate UTI manake muda wanaokaa kwenye maji ni mrefu na mule wanaweza kukojoa wewe usijue.

rafiki umenikumbusha wifi yangu ambaye akitka kumlisha mwanae anadeki numba vzr kwasabauni na maji ya moto kisha anamwaga chakula chini ndo mtoto ale hapendi kulishwa kwenye sahani yaani kama kalogwa vile.
 
hii tena mpyaaaaaaaaa! mbona kazi tunazo??
 
Back
Top Bottom